Recent content by jaja mzawa

  1. J

    Uchaguzi 2010: Zitto, Mbatia wajitosa Ubunge!

    Mimi nitagombea jimbo la bunda kupitia chadema
  2. J

    Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

    Namkumbuka huyu miss aliwahi kuwa pale IFM alikuwa benett na jamaa mmoja pale IFM aliyekuwa akionekana dhahiri kwamba ni shoga....ingawa kijana yule kwa taarifa nilizonazo ni kwamba alishatangulia mbele za haki...
  3. J

    Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    Huyu waziri ngeleja ana akili timamu kweli...? Kwanza naombeni c.v yake kama kuna member yeyote wa jf anaifahamu aimwage humu...waziri wa serikali mbili zilizoamua kuungana anafanya mambo ya kihuni namna hii...nani akujue...kwa hiyo alikuwa anachelewesha watu kwenye foleni ya atm kwa makusudi...
  4. J

    Sofia Simba naye ajitangaza kupambana na mafisadi

    Nadhani sasa umefika wakati wa hao viongozi wa ki-dini wanapo-wa invite kushiriki katika mambo mbalimbali ya kiroho (kuanzia harambee hadi kusimikana wakfu).. viongozi wenye mienendo tata katika taifa letu kutoa pia muda kwa waumini wao kumuuliza maswali na kuhitaji ufafanuzi katika masuala...
  5. J

    Siasa za Mbeya 2005-2010

    Nashukuru mungu ktk sakata hili la kyembe na kipesile pumba zote zimeanza taratibu kujitenga.....ndio maana hata mh jm kikwete aliwahi kusema vita dhidi ya mafisadi ni ngumu sana na haitaki papara....ugumu mmoja wapo ndio huo kwamba unavyokuwa unapigana vita hii unaweza ukajikuta unapigana hadi...
Back
Top Bottom