Recent content by Jahxon

  1. J

    Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

    Mbona Raisi wetu anavaa miwami..huwezi jua kesho yake
  2. J

    Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

    Naona ndugu mwandishi upo mwaka wa kwanza,unajifunza uwandishi..
  3. J

    TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

    Wee jamaa nakupata sana..mitaa ya freemason church pale
  4. J

    Hivi huu mwezi ukilipuliwa , mabaki yake yataangukia huku Duniani?

    Nini wewe mwenyewe upo kwenu?au Kuna wengine wakutegemewa?
  5. J

    Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Sijui Raisi Nini Nini..sijui amfanyie Nini...hata sikumwelewa..nikasepa zangu
  6. J

    Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

    Alio gundua ndege siyo genus?
  7. J

    MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

    Chagga bite mtura na mbuzi.kuna kitimoto pia siku hizi naskia kwa order.
  8. J

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Naombeni kuelekezwa jinsi ya kupata hiyo hiyo post 149..sehemu ya pili.
  9. J

    Serengeti: Wafungwa miaka 25 kwa kushikwa na mayai 16 ya mbuni..

    Mimi ninalo yai la mbuni,karibu miaka kumi sasa..ila nililitoboa kitundu kidogo nikatoa york yote..nimeliweka kama urembo.
  10. J

    Kundi la mapedeshee watatu waliotamba enzi za Kikwete!

    Kuna hata mmoja anajuwa vyanzo vyao vya ela atwambie.
  11. J

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Nnnnnchi nzuuri Tanzaniaaaa....jina lako niii tamuuu saaana!!
Back
Top Bottom