Recent content by jafferson

  1. jafferson

    Kiwanja kinauzwa,Mbezi Mwisho(57*78)M

    Mbez mwisho sehemu gan mkuu, weka no ya cm nikutafute
  2. jafferson

    Leo katika Historia: Ijue Russia facts 13 za kusisimua ambazo hutaamini

    Mkuu ahsante kwa shule, fanya mpango utuletee na ya CUBA.
  3. jafferson

    Tahadhari: Mlio kwenye ujenzi kuweni makini na mafundi

    Ndugu yangu hakuna kwa kukimbilia, ukienda kununua mwenyewe wanazidisha mahitaji ya vitu ili vibaki wakauze kwa mjenzi au kulekule dukani ulikonunua.
  4. jafferson

    K/koo: Kipande cha Sabuni badala ya simu

    Ukweli nilipata somo kupitia uyu jamaa sikuwai kuwaza kua uhusiano wetu ungekufa kwa style hii. Familia zetu ziliungana kwa sababu ya urafiki wetu, sasaiv nakua makini na kila aliye karibu yang na simwamin mtu yoyote.
  5. jafferson

    K/koo: Kipande cha Sabuni badala ya simu

    Ni mzima na hana shida nilienda mpaka mkoa kwa mamake nilimwelezea , hawezi amin mama yake alidondosha mchozi na aliomba anilipe kidogo kidogo. Lakin nilipoangalia khali ya mamake ni ngumu sana na ni mjane ivo nilikataa.
  6. jafferson

    K/koo: Kipande cha Sabuni badala ya simu

    Mumenitonesha kidonda changu jaman, mwaka jana nilipigwa 800,000 na rafiki yng ambaye tulisoma kuanzia primary school mpaka secondary. Jamaa alikua kama ndugu kabisa ata nyumbani wanamjua vizur na mm pia nafahamika kwao. Siku ya tukio alinipigia cm kua kuna jamaa anafanya kazi bandarini anauza...
  7. jafferson

    Mapenzi yalikuwa zamani

    Ndio nn wipes? sisi bado tunapangusiwa vipande vya kitenge na kaniki au khanga.
  8. jafferson

    Mapenzi yalikuwa zamani

    Umemuosha lin? Wengine ata kumpangusa gegedo na tishu hawawezi.
  9. jafferson

    Mapenzi yalikuwa zamani

    Hahahahaaa!! Kuna nn mkuu?
  10. jafferson

    Mapenzi yalikuwa zamani

    Inawezekana kutokana na tamaduni za kabila usika.
  11. jafferson

    Mapenzi yalikuwa zamani

    Sio mbaya ndoa za zamani walikua wanaoana kibinamu usishangae!!!
  12. jafferson

    Mapenzi yalikuwa zamani

    Nakaa nao mtaa mmoja!!!
  13. jafferson

    Mapenzi yalikuwa zamani

    Ndio maana ndoa hazidumu wanawake hamjitumi, kukumbushana kodi za meza na hela ya mchezo kwisha
  14. jafferson

    Mapenzi yalikuwa zamani

    Hahahahaaa duh umeua sasa apo umemuosha au umejioshea mwenyewe.
Back
Top Bottom