Kiwanja kinauzwa,Mbezi Mwisho(57*78)M

Mtimbo

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
1,392
797
Habari wadau; Kiwanja chenye ukubwa wa eneo tajwa hapo juu kinachopatika Mbezi mwisho kinauzwa.

Bei ya mauzo ni Sh 4,500,000 (Negotiable) mazungumzo yanaruhusiwa.

Kwa yeyote mwenye uhitaji ani PM namba yake.
 
Habari wadau; kiwanja chenye ukubwa wa eneo tajwa hapo juu kinachopatika Mbezi mwisho kinauzwa.
Bei ya mauzo ni Sh 45,000,000 (Negotiable) mazungumzo yanaruhusiwa.
Kwa yeyote mwenye uhitaji ani PM namba yake
Mbez mwisho sehemu gan mkuu, weka no ya cm nikutafute
 
Mbezi mwisho eneo gani mkubwa, kama vipi mimi nipo mbezi mwisho, kama naweza kukiona tuonane tuwasiliane tukutane polisi ya zamani hapa.
 
Nawashukuru watu wote mlioonyesha uhitaji wa kiwanja, hata hivyo naomba nichukue fursa hii kuwa taarifu kuwa kiwanja kimesha uzwa tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom