uyo mama wala haukulazimishwa ni mahaba tu.
Mkuu mmetumia kifaa gani kujua hao ni wanandoa ?? Au carbon 14 inayogundua fuvu la mtu wa kwanza Tanzania lakini Eden sijui iko IraqWanandoa hao wala sio ndugu
Sasa mbona huyo ni baba na shangazi yangu ,???Nakaa nao mtaa mmoja!!!
Uhusiano wa baba na shangazi ni binamu ???Sio mbaya ndoa za zamani walikua wanaoana kibinamu usishangae!!!