Recent content by Jaffary

  1. Jaffary

    FT: Barcelona 3-2 Real Madrid | El Classico - the World Class Derby | 26.4.2025

    Wakuu hii mechi DSTV hawaonyeshi. Tunaionaje?
  2. Jaffary

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana Jr naku-DM bila mafanikio mkuu
  3. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Hii nilijaribu haijafanikiwa. Nina contacts 2000 kwenye telegram nataka nizihamishie kwenye phone contact yangu. Hakika atakayeniwezesha kufanikisha donge nono linamhusu
  4. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Tried but unsuccessful mkuu
  5. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Wakuu amani iwe kwenu! Nime-stack kidogo. Ninataka kuhamisha contacts zangu zilizo kwenye telegram kuja kwenye simu au kwenye Gmail account yangu. Inafanyika vipi? Nimehangaika pasi na mafanikio. Asante.
  6. Jaffary

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Naam. Ngoja niipakue hapa. Hii ni maalum kwa ajili ya game ya France vs England
  7. Jaffary

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mwenye kujua link ya live streaming ya hizi mechi tafadhali
  8. Jaffary

    Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Mwenye uhitaji wa sehem ya kulala ani-PM
  9. Jaffary

    Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    Fanya hivi...ingiza upya taarifa zako kwa usahihi, ila itakubidi sehemu ya namba ya simu, namba ya kidato cha nne, nida na email ubadilishe. Ukishafanikiwa, utaingia-log in ili uhuishe taarifa zako kwa kuziweka kwa usahihi, kwa maana ya ile nida na namba ya kidato cha 4. All the best
  10. Jaffary

    2021 AFCON Special Thread

    Nilifikiri labda ni coach wao lakini ninaangalia profile yake ya kawaida sana. Watakuwa na ligi nzuri. St. George nawakumbuka CECAFA challenge cup sema siku hizi haina mvuto
  11. Jaffary

    2021 AFCON Special Thread

    Ethiopia wana mpira mzuri. Barcelona flani hivi. Unavutia kuangalia
  12. Jaffary

    Je, asiye mwanasheria anaweza kumsaidia mtu asiyeweza kujieleza mahakamani na kumtetea?

    Kazi ya kumwakilisha mtu mahakamani ni ya wakili japo kuna exception flan flan hivi....kwa mfano unaweza kumwakilisha ndugu yako mahakama ya mwanzo, na hata baraza la ardhi la wilaya, mahakama kuu kitengo cha kazi, CMA n.k
  13. Jaffary

    Msaada wa kisheria kuhusu mkataba wa kazi

    Automatic renewal ni kuhuisha mkataba pindi unapoisha. Yaani mkataba wenyewe unajihuisha. Lakini ili hilo lifanyike ni lazima hiyo clause iwepo ndani ya mkataba na iseme hivyo explicitly. Na hiyo automatic renewal lazima iambatane na masharti fulani hivi kwa sababu, pamoja na kwamba kuna...
  14. Jaffary

    Hati ya nyumba Imechanwa alafu ikatengenezwa nyingine

    Ni rahisi, nenda halmashauri ya wilaya au manispaa uliyopo uwaone watu wa idara ya ardhi. Omba kufanya upekuzi rasmi(official search) ambayo inagharimu shilingi elfu kumi. Utapata print out ya jina la current owner. Lakini ili upate suluhisho la kudumi, itisheni kikao cha familia, na mpendekeze...
Back
Top Bottom