Recent content by JaffarMohammed

  1. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jina zuri la duka la pembejeo za mifugo.

    Airbus 220 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Taja wimbo unaotumika kufundisha, kuonya, kuelimisha

    Ccm mbele kwa mbele!
  3. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Aliumbwa.
  4. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Hakuna aliekataza watu kusali usiku boss. Ila tusali tukijua kuna watu wamepumzika. Sio kwa fujo. Ndio maana nikasema mfano mzuri wa Ibada ni Kumuiga Yesu. Je alikua akipiga kelele na fujo?
  5. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Kwanini Fastjet wanazuia usifunge madirisha

    Yaani we unalalamika kuhusu kufunga dirisha. Sisi kuna siku ndege ilizimika hewani ikakataa kuwaka ikabidi tushuke wote tuisukume.
  6. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Kwa nini mungu aliumba usiku?
  7. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Naomba andiko ambalo Yesu alifanya ibada kwa kupiga makelele. Pia naomba uniambie je Pepo chafu linaweza kuingia eneo takatifu? Sote tunafahamu kamwe pepo chafu haliwezi ingia eneo takatifu. Sasa hao mapepo wanaotolewa ndani ya kanisa yaliwezaje kuingia mpaka humo ndani??
  8. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Wizi kwenye magroup ya whatsapp

    Hebu na wewe tutumie hiyo link tuione
  9. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Kwanini Yesu hakupiga Kelele?
  10. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Hilo ndio tatizo kubwa. MUSSA Aliambiwa Vua Viatu hapo ulipokanyaga ni patakatifu akavua kweli viatu vya miguuni. Leo ukiulizwa kama kanisani na patakatifu kwanini huvui viatu. Unasema sio viati hivi ni dhambi!! Umeeleza neno moja hebu lete ufafanuzi wa hili pia:- Na msipayuke maneno ?
  11. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    MATHAYO 6:5-7 5 Mnaposali, msifanye kama wanafiki. Wao hupenda kusimama na kusali katika masunagogi na katika pembe za njia ili watu wawaone. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao. 6 Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye...
  12. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    MATHAYO 6:5-7 Mnaposali, msifanye kama wanafiki. Wao hupenda kusimama na kusali katika masunagogi na katika pembe za njia ili watu wawaone. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao. 6 Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye...
  13. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Kwanza kabisa unatakiwa ufahamu kua Mungu wa kweli halali wala hachoki kama wewe na mimi. Pili nakuunga mkono kwenye hilo jambo la makelele. Mungu yu karibu sana na sisi na haitaji mikelele ya ajabu ajabu. Ukitaka kufanya maombi sahihi omba kama alivyokua akiomba bw. Yesu. Na kama wewe ni...
  14. JaffarMohammed

    JamiiForums Tanzania Mvua ya mawe yanyesha Mwanza kwa takribani wiki moja

    Mvua zanyesha kwa kasi kubwa kabisa katika jiji la Mwanza kwa zaidi ya wiki mfululizo na leo imevunja rekodi kwa kumwaga barafu.
Back
Top Bottom