Recent content by jaffaray20

  1. J

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Napiga kwa afya mzee sasa naona mambo yanabadilika
  2. J

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Naomba nijitambulishe kuwa Mimi ni mwanachama ambaye nimedumu chamani zaid ya miaka kumi bila longolongo. Sasa katika harakati zetu za kukuza chama kuna jambo linanikumba sielewi nini shida. Wiki tatu na kurudi nyuma toka nlivyojiunga kila nikijilipua ndan ya dakika mbili wazungu waleeeeeeeee...
  3. J

    Naweza kumbadilisha aache kuvuta bangi?

    Haaaaiii nko na mpango wa kuanza kutumia hii kitu
  4. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni kweli, navyojua Mimi kama wewe ni mwanaume hujaoga maji ya mchele hata uwe unavaa vizur kiasi, una pesa kiasi gan,lazma utapiwa chaga
  5. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwahyo unachotaka sema kuwa toka uanze kutongoza hujawah kataliwa na mwanamke yeyote
  6. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna mawili kwamba unatupga kamba au wanawake unaokutana nao ni Malaya waliojificha katika ndoa
  7. J

    Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

    Naelewa hyo struggle maana mm nmesomea koz ka yako ila nmeamua kujikita upande wa graphic design kwa sasa maana ndio kitu inanifanya naishi,kweny filam ntarud ila nkiwa na kila kitu
  8. J

    Most confusing and plot twisting series ever

    Hii series kwa maandishi sidhan kma kuna MTU anaweza ielewa.hii ni series imedeal na concept za muda, paradox,loop.nilivyomaliza season 2 theme iliyotumika kwenye tenet "what happened happened" nkajua everyone one is bound to make the same mistake, season 2 mwishon ndio imekuja kubadilika ambpo...
  9. J

    Mrembo wa Tips lounge aliyenifanya nikaokoka

    Nyie ni ya aina ya watu mnaotufanya wasukuma tuonekane washamba mjini "unapanda ndege ili upige picha demu akuone ka sio ushubwada ni nn"
  10. J

    Script Writers wa Bongo Movie wanatumia Software gani?

    Mm yangu sijanunua nmedownload mtandaoni iko cracked, waliopo kwenye industry bongo movie hawatoi nafasi kwa watu wapya,
  11. J

    Script Writers wa Bongo Movie wanatumia Software gani?

    Mzee mm natumia final draft,ila kwenye slugline naweka kiswahili,shida kma unatumia transition sana hauwez weka kwa kiswahili
  12. J

    Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    Bongo movie INA safari ndefu sana maana.mm naamin wakiwa serious na wakafanya kazi nzur wawekezaji watakuja weng na wakutosha,nenda kaangalie wasouth na wanaija huko Netflix. Kuna series mmoja huko Netflix y kisauzi jina lake sikumbuki ila inahusu msichna mmoja anaenda shule ya matajiri...
Back
Top Bottom