Recent content by jadide

  1. jadide

    Msaada: Nina Millioni 10 itatosha kujenga nyumba?

    Unapata nyumba bila wasiwasi nitafute nikufanyie estimation
  2. jadide

    Tatizo Rais Magufuli anapenda masifa (ego) kuliko nchi

    Nani amuombee? Thubutu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. jadide

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Yaani natetemeka mpaka nakosa cha kuongea Sent using Jamii Forums mobile app
  4. jadide

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hii balaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. jadide

    Mkuu wa Mkoa kuwa na nguvu kuliko mawaziri ni tishio kwa usalama

    Sio kila mada lazima ucomment mada zingine zipo juu ya ubongo wako so ukiona hivyo unapotezea tu maana akili zako zimefyatuka kwa kiwango cha makanikia[emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. jadide

    Mkuu wa Mkoa kuwa na nguvu kuliko mawaziri ni tishio kwa usalama

    Dawa zako za kichaa leo umezitumia? Na km bado kanywe dawa kwanza then uje kucomment tena Sent using Jamii Forums mobile app
  7. jadide

    CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Umbea tu umekujaa hovyooo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. jadide

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Kwa hiyo wewe ni legelege au sio? Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. jadide

    TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    RIP Sent using Jamii Forums mobile app
  10. jadide

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Mbunge wa Singida Mashariki, Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha CHADEMA Mheshimiwa Tundu Lissu, amekamatwa na Mlinzi wa amani alipokuwa...
  11. jadide

    Utata wa utekelezaji wa maamuzi ya kesi kati ya Stirling Civil Eng vs Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Watanzania wengi tunafaham kuwa sizonje nchi ishamshinda kuiongoza kilichobaki ni mihemko tu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. jadide

    Arusha: Madiwani waliojiuzulu watapeliwa

    Saaaaafi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. jadide

    Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    Huyu mbunge me namuonaga km ana hitilafu kubwa ya ubongo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. jadide

    Hivi ile kesi ya Scorpion mtoa macho iliishia wapi?

    Wadau tukumbushane kidogo km mnakumbuka mwaka Jana kulikuwa na habari iliyoenea nchi mzima kuhusu yule bwana aliyetuhumiwa kumpiga hadi kumtoboa macho bwana Said baadae akakamatwa na kufikishwa mahakamani sasa sijajua ile kesi ilipoishia mwenye taarifa tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  15. jadide

    Rais Magufuli kafanikiwa kudhibiti Maandamano na migomo iliyokuwa fasheni ya huko tulikotoka

    Pole hujui ulisemalo nikikuuliza nn maana ya maandamano jibu lake utasema maandazi na maharage, ila sisi tunaoandamana tunajua tunachokifanya. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom