Recent content by Jadi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Voda kwenye data-Business Lines

    Hawa voda ni wezi sana. Eti mara ghafla data ya 15000 kupata 10GB imegeuka 15000 unapata 2GB kwa siku saba. Nimechoka kabisa. Mbaya zaidi namba nyingine ni personnal kuwekewa vocha tu na ofisi wameamua kutuibia hata kama twanunua wenyewe. Acheni hizo jamani mbinguni hamtafika
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Membe, Allan Kiluvya azungumza baada ya kurejeshwa na watu wasiojulikana

    Polisi wanajua kilichofanyika ndio maana hawamkamati
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linaposhiriki vikao vya ndani vya CCM, unategemea litatenda haki kwa vyama vingine?

    Najaribu kuchora picha ya sura yako nachanganya madesa. Mungu akupe akili. Amen
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza Kuonana na Prof Palamaganda Kabudi. Siwezi isahau

    Nimependa hapo jamaa anapinga yale alokuwa anafundisha miaka mi5 nyuma. Huu ni uoga na unafki
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tuzo point za Voda kichekesho

    Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000, kweli!!!!! Wakati unapewa tuzo 10 kwa transaction! Huu ni utani bora mbadili au mboreshe
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu amepona arudi nyumbani kuendelea na ujenzi wa Taifa

    Hivi kweli ungepigwa risasi wewe uneongea hivyo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli juu ya waliohudhuria Mkutano wa Lissu USA

    Kwa hiyo kwa mfano ulitakaje? Ujumbe umefika hata kama angekuwa ana mkutano wa watu wawili. Hivi wewe ulishawahi hata kupigwa na Polisi, unajua Lissu anachojisikia kupigwa risasi kwa maagizo ya serikali, unajua ameumia kiasi gani, kwa nini mnaongea tu hamjiweki kuwa Lissu? Utamsemaje mtu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Mwanafalsafa asiyehitaji PHD ya darasani

    Sio siri huyu jamaa unaweza kuchelewa kazi unamsikiliza tu. Tangu atoke TZ, Ulaya, Marekani jamaa mihadhara yake na interview zake ni kiboko. Sidhani kama huyu mtakatifu feki anamfikia hata chembe. Tumuombee aishi mpaka siku ndoto zake za kutengeneza Tanzania na Africa zenye misingi imara ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuzuiliwa Ujerumani

    Maajabu hayataisha
  10. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya CAG kuhusu kutokuwepo kwa upotevu wa trilioni 1.5 pigo kwa wapinzani

    Hivi wewe mleta uzi haujadhurika vyovyote na hii serikali ya kidicteta?hongera kwa utetezi wako. Hakuna mwingine anayeweza kufafanua upotevu zaidi ya CAG mwenyewe. Kama alisema kuna hela haionyeshi kutumika ni yeye tu atakuja kusema ameona imetumika kwa weledi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Itigi: DED, rangers arrested over murder in church

    Wataambiwa walikosea kujenga kanisa maeneo hayo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tuwe na utaratibu wa kupima afya ya akili kama kigezo cha mtu kupewa au kugombea uongozi hapa nchini

    So unahisi Mkubwa alitakiwa kupimwa akili?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally, Katibu Mkuu CCM ampa onyo kali Tundu Lissu

    Huyu Dr ni Kilaza sijapata kuona
Back
Top Bottom