Taarifa ya CAG kuhusu kutokuwepo kwa upotevu wa trilioni 1.5 pigo kwa wapinzani

Mfalme wa Genge

Senior Member
Mar 30, 2018
181
250
Taarifa ya CAG imesema hakuna upotevu wa Trilioni 1.5 kama inavyodaiwa na watu wachache wenye nia ya kupotosha na hata Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa ufafanuzi kuwa hakuna tofauti ya makusanyo na mapato ya Serikali katika Mfuko Mkuu kwa mwaka wa 2016/2017 isipokuwa mkanganyiko uliotokana na baadhi ya taratibu ambazo hazikuwekwa vizuri na watu wa fedha.

Ripoti hii imekuwa pigo kwa CHADEMA kwa kuwa walijipanga kusambaza waraka katika balozi mbalimbali zilizopo nchini kuishutumu Serikali kwa ubadhirifu wa fedha.

Wapinzani hawa chini ya kiongozi wao Zitto Kabwe wameandaa waraka unaoonyesha upotevu wa Trilioni 1.5 na wanapanga kuutumia kuwashawishi Nchi HISANI kupitia balozi zao zilizopo hapa nchini kwamba pesa walizoipatia Serikali kwa ajili ya maendeleo zimetumiwa kufanya mambo mengine ikiwemo kuwanunua wapinzani hivyo Tanzania isipewe misaada.

Waraka huo tayari umeshaletwa Jijini Dar na Katibu Mkuu wa BAWACHA, GRACE TENDEGA na kukabidhiwa kwa Katibu wa Mambo ya Nje CHADEMA Ndugu JOHN MREMA ili aanze kuusambaza rasmi katika balozi hizo.

Hii inaendelea kuonyesha kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na ZITTO KABWE hawaitakii mema nchi yetu kwa kuwa wamekuwa wakihangaika na Mataifa ya nje usiku na mchana kuihujumu nchi wakifikiri wanamkomoa MAGUFULI kumbe wanatukomoa watanzania kwa ujumla wetu.

Tabia hii ya viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Zitto Kabwe kudhani kuwa watanzania ni wajinga ifikie mwisho sasa. Watanzania wa leo wameamka na wapo pamoja na Rais MAGUFULI na ndiyo maana hata baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wameamua na kusema hapana sasa inatosha kwa upuuzi huu na mbinu za kijinga zenye kila aina ya hila zinazoendelea kufanywa na kundi hilo.

Shime watanzania bila kujali tofauti za itikadi zetu na kwa namna yoyote ile tusimame kwa umoja wetu kupinga hili kwani Rais wetu ana mipango mizuri kwa maendeleo ya watanzania wote na Taifa kwa ujumla wake.

VIVA MAGUFULI, VIVA TANZANIA

Na Steven Joseph
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
4,734
2,000
Kama kuna waraka subiri kwanza utoke na usomwe. Acha kupiga ramli.
 
PumziNdefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
566
1,000

Wewe kweli punguani labda lugha ya malkia ilikushinda.
Kwa taarifa yako sio tena 1.5T ila ni 2.4T ndio Jiwe amekwapua.
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,637

Huu upumbavu wako baki nao huko huko CAG katishwa sana lakini pamoja na kumtisha Ukweli upo palepale trilion 1.5 imepigwa hata mje na visingizio gani hakuna mwenye Akili atakubali Uongo wenu
 
UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,869
2,000
Mkuu, watu wanaowaamini kina Zito na yule kiongozi wao wa 'utundulisu' ni wafuasi wa chadema pekee, tena wale ambao hata wangeambiwa chadema inaungua moto, na wakaiona kwa macho yao kuwa kweli inaungua, bado wasingeamini.
This gang has gone too far that there's no way of turning back. Wataendelea kutengeneza mambo feki ya kijinga ili kujifanya waonekane bado wamo.
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,637
2,000
CAG tulimsikia watanzania wote na hizo clips zipo, tena mpaka akamwita ndugai ni dhaifu, na akahojiwa na kamati ya uongozi ya bunge, kwa hiyo wewe kujitoa ufahamu sisi haituhusi
CCM wapo kuficha wizi kukana kumshambulia Tundu Lisu yaani CCM ya sasa imejaa vituko vitupu hakuna cha viwanda wamebakia ni kukwapua pesa za umma tu kisha kukanusha kwa majibu rahisi yasiyo na mashiko
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,637
2,000
Mkuu, watu wanaowaamini kina Zito na yule kiongozi wao wa 'utundulisu' ni wafuasi wa chadema pekee, tena wale ambao hata wangeambiwa chadema inaungua moto, na wakaiona kwa macho yao kuwa kweli inaungua, bado wasingeamini.
This gang has gone too far that there's no way of turning back. Wataendelea kutengeneza mambo feki ya kijinga ili kujifanya waonekane bado wamo.
Acha ushambenga wako watanzania si wajinga kiasi hicho mnachofikiria wanajua vingi kuliko nyie wachache wapenda wizi kisha mabingwa wa kukanusha hizo pesa trilion 1.5 ziliibiwa na CCM hata mjitetee vipi hakuna mjinga wa kukaa kuamini uzushi wenu kamwe.
 
PumziNdefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
566
1,000
Hizi hapa hela zilizo kwapuliwa na Jiwe
 • TSh 976.96 billion of unauthorised reallocations (pp 19-23)
 • TSh 656.6 billion discrepancy between Exchequer Issues Warrants and the Exchequer Release Report (p 29)
 • TSh 290.67 billion of unsupported overdraft (p 3)
 • TSh 234.12 billion of Exchequer Issues Warrants issued without proper explanation (p 23-4)
 • TSh 189.99 billion unapproved withdrawals from the Consolidated Fund (p 19)
 • TSh 3.45 billion unjustified linked to cancellation of Exchequer Issue Warrants (p 26)
 • TSh 3.26 billion incorrect Exchequer Issue Warrants (p 24)
Jumla ni 2.4T

Huu ujinga wako peleka huko kwa wajinga wenzako.

Ripiti kamili ya CAG hii hapa:
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,637
2,000
CCM ni ukoo wa panya babu baba mama watoto wote ni wezi, awamu hii ndiyo awamu ya mikwara mingi lakini ndiyo awamu yenye ufujaji wa pesa za umma hakuna mfano
 
Omary Ndama

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
3,325
2,000
Mkuu, watu wanaowaamini kina Zito na yule kiongozi wao wa 'utundulisu' ni wafuasi wa chadema pekee, tena wale ambao hata wangeambiwa chadema inaungua moto, na wakaiona kwa macho yao kuwa kweli inaungua, bado wasingeamini.
This gang has gone too far that there's no way of turning back. Wataendelea kutengeneza mambo feki ya kijinga ili kujifanya waonekane bado wamo.
Wao walishindwa kutetea hoja kujibu tuhuma ya upotevu wa 1.5 Tillion ya watanzania, na nanyinyi wakereketwa badala ya kujibu tuhuma kwa hoja nzito watanzania wasio na vyama tuwaelewe mmebaki kuleta mipasho, tutaachaje kuwaamini kina Zitto kwa hoja zenu za taarabu Kama hizi, so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shujaa mjinga

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
377
500
Toeni hoja muache mipasho ya taarabu hiyo. Weka huo utaratibu wa kifedha uliokosewa. Buku saba isikutoe akili ww
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,210
2,000
Hizi hapa hela zilizo kwapuliwa na Jiwe
 • TSh 976.96 billion of unauthorised reallocations (pp 19-23)
 • TSh 656.6 billion discrepancy between Exchequer Issues Warrants and the Exchequer Release Report (p 29)
 • TSh 290.67 billion of unsupported overdraft (p 3)
 • TSh 234.12 billion of Exchequer Issues Warrants issued without proper explanation (p 23-4)
 • TSh 189.99 billion unapproved withdrawals from the Consolidated Fund (p 19)
 • TSh 3.45 billion unjustified linked to cancellation of Exchequer Issue Warrants (p 26)
 • TSh 3.26 billion incorrect Exchequer Issue Warrants (p 24)
Jumla ni 2.4T

Huu ujinga wako peleka huko kwa wajinga wenzako.

Ripiti kamili ya CAG hii hapa:
Hii hawawezi kuelewa hii lugha

Hawa ma entreaprntanyuwaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,496
2,000
Hivi wewe mleta uzi haujadhurika vyovyote na hii serikali ya kidicteta?hongera kwa utetezi wako. Hakuna mwingine anayeweza kufafanua upotevu zaidi ya CAG mwenyewe. Kama alisema kuna hela haionyeshi kutumika ni yeye tu atakuja kusema ameona imetumika kwa weledi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom