Recent content by jacobinho

  1. jacobinho

    JamiiForums Tanzania Fikicha akili!

    Leo nimepita mahali nkamkuta huyu kuku na huyu kifaranga cha bata(sijui ndo wanaitwa hvyo na wao) Huyu kuku anamlea huyu kifaranga wa bata na kila mahali wanaongozana. nilisimama nkatafakari sana nkajaribu kurudi katika maisha yetu wanadamu ya kawaida. Nkajiuliza hivi kuna bata tunalelewa na...
  2. jacobinho

    JamiiForums Tanzania Lema afichua siri nzito Gereza la Kisongo

    MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ameibuka na kueleza mambo mbalimbali, aliyokumbana nayo katika kipindi cha miezi minne akiwa mahabusu katika Gereza la Kisongo mkoani Arusha, kutokana na kukosa dhamana katika kesi ya uchochezi. Aidha, amesema akiwa katika mahabusu hiyo, alipewa...
  3. jacobinho

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

    JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema linaendelea na ukamataji watu wanaosadikiwa kujihusisha na matumizi na biashara ya dawa za kulevya na linawashikilia wasanii wawili wa muziki wa bongo fleva, akiwemo Vanessa Mdee. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Kamanda...
  4. jacobinho

    JamiiForums Tanzania Dk Mahanga matatani tena, mahakama yaamuru akamatwe

    Amri hiyo ilitolewa na Naibu Msajili wa Wilaya, Mahakama Kuu, Ruth Masambu wiki iliyopita baada ya Dk Mahanga kushindwa kufika mahakamani hapo bila taarifa. Dar es Salaam. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana katika Serikali ya Awamu ya Nne, Dk Makongoro Mahanga ameingia...
  5. jacobinho

    JamiiForums Tanzania Mbowe akumbana na kigingi kingine mahakamani

    Mbowe amefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Dar es Salaam. Baada ya Serikali kumwekea pingamizi mahakamani Mwenyekiti wa...
  6. jacobinho

    JamiiForums Tanzania Maojiano ya kamanda na tundu mahakamani

    Lissu alimuonyesha shahidi huyo gazeti la Mawio la Januari 14, 2016 na kumtaka amweleze Hakimu Simba idadi ya aya za makala inayodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa na kichwa cha habari cha ‘Machafuko yaja Zanzibar’. Baada ya kuulizwa swali hilo, Kamanda Hamdani alimueleza Lissu kuwa hawezi...
Back
Top Bottom