Kama ilivyotaarifiwa awali hapa JF ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/249896-kesho-tume-ya-katiba-inaapishwa-ikulu.html ); rais leo anaiapisha Tume ya Katiba.
Jaji Joseph Sinde Warioba ndiyo anakula kiapo.
Polisi ya nchi hii wanakiuka malengo ya kuanzishwa kwa jeshi hilo. Badala ya kulinda usalama wa raia na mali zao wanakuwa maspy wa watawala na watu wa kuwaonea raia. Ngoja Chadema ichukue dola ndiyo watajua kwamba uspy unawatu wake.
Nimejaribu kufutailia/ kutafuta wasifu wa watu hawa lakini sijaambulia chochote kwa hiyo inaniwia ngumu kutambua aina ya utendaji wa wengi wa wateule hawa. Pia najiuliza kuhusu suala la umri. Je, damu changa imeangaliwaje? ......au bado wamejaza wazee ili kutengeneza katiba nyingine ambayo...
kila kimoja kina katiba yake. Havifungamani kamwe. Wakikupenda kwenye Injili usidhani utawashawishi kirahisi kwenye siasa. Viva Chadema....alwaýz for life. Chadema for critical change!
Pia jimbo la moshi vijijini liko upandwa wa kusini mwa Moshi mjini( Bonite, TPC n.k). Nakubali maelezo yako kwamba kibosho wanaushawishi wa nani awe mbunge Moshi Vijijini.
Kumzuia kushiriki siasa miaka mitano! Mnara wa uhuru pale Arusha utakuwa ni mnara wa ukombozi wa mtnzania kutoka kwenye serikali dhalimu ya CCM. Tutaandana, watupige, tufe mpaka tuishe kama wakileta hukumu zisizokuwa na utu Arusha.
Kwanini iwe hivyo? Iweje hao wa CCM waruhusiwe kukaa mda mrefu namna hiyo baada ya majumuisho ya Chadema? Kama Chadema ikishindwa rufani na iwe suluhishwa kwani ni dhahiri kwamba Mahakama kuu upo mchezo mchafu! Viva Chadema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.