Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,841
- 2,663
mbona tulimweka mrema jr akamwagwa na mrema sr?
Vunjo arudie John Mrema alafu chama kifanye mipango ya kufungua matawi kwa wingi. Huyu kijana ni zaidi ya LyatongaMipango ya chama chochote cha siasa ni kusonga mbele zaidi ya pale ilipofikia uchaguzi uliopita, na hatimaye kufikia lengo kuu la kushika dola ili kutekeleza ilani yake kwa wananchi! Ilipofika sasa Chadema ni hatua nzuri na ni dhahiri ya kwamba wananchi wanadhani inaweza kuwa ndio chama mbadala cha kuwaongoza!
Ningependa wadau tuorodheshe majimbo 120 hapa ambayo tunadhani chadema tukijipanga basi hatukosi 100 Mwaka 2015.
1.Arusha Mjini............ Hili litabaki CDM
2.Arumeru........ Litabaki
3. Karatu......... Litabaki
4. Mbeya Mjini.......litabaki
5. Kigamboni....... Aandaliwe mgombea kutoka maeneo ya mbagala, msafi, mtu wa watu, akirudi mgombea wa sasa wa CCM chadema itashinda
6. Mkuranga......... Adam Malima akigombea, CDM itashinda
7. Hai............Kamanda ubaki hapo!
8. Igunga........ Chama kirudi kikateke analau ahadi mbili tatu though hatukushinda
.................
CDM wanaweza kuwa chama cha kwanza cha upinzani kulichukua maana Lyatonga c mpinzani
mbona tulimweka mrema jr akamwagwa na mrema sr?
kuna jimbo ambalo wananchi wake huwa wanapima nani mkweli na nani ni muongo kisha wanampa kura, sio jingine bali ni jimbo la moshi vijijini! kwa jinsi navyoelewa watu wa moshi vijijini chadema wakiweka nguvu kidogo sana wanachukua lile jimbo kama kumsukuma mlevi vile!
changamoto yangu ni kwamba lile jimbo ni potential na huwa hakuna propaganda, kama mnataka kujua watu hawa walivyo mwulizeni agustino lyatonga mrema! watu hawa wa moshi vijijini si sawa na arumeru au songea au morogoro au dodoma. wako tofauti kabisa wanaweza kukupa asilimia 90 ya kura kama una bahati na ukaeleweka kwenye kauli zako si kama za kina lusinde
chadema andaeni kichwa kwa ajili ya kulichukua hili jimbo, mbunge wa sasa hakuna anachokifanya tena ni mgonjwa
Mbatia ashawahi ongoza jimbo hilo.
Nakubaliana na hilo upepo mkali kabisa wa mabadiliko, chadema tu mshindwe.Jmushi1,
Absolutely kadi unaweza kuipata kabisa mkuu.Hadi leo hujachukua kadi ya chama?lol
Karibu sana CHADEMA mkuu Jmushi1 na wana JF ,tafadhali ukija kuchukua kadi njoo na wengine 15.Honestly,nimefurahi sana jinsi wana JF walivyo na hamasa ya kuingia majimboni 2015.Tuendelee kujenga chama na kueneza sera kwa njia yoyote at our disposal. Kweli upepo wa mabadiliko unavuma,ni kimbunga kweli kweli
Na makete nao tumeshawasha moto wa mageuzi,Lakini kunavizee fulani vilaza wamechana bendera yetu nakutupa choo,Vijana tumeshaliwasilisha swala hili police limeanza kushughulikiwa,Mkitaka kulijua swala hili mtafuteni m/kiti Chadema wilaya ya makete.Nawasilisha
Mipango ya chama chochote cha siasa ni kusonga mbele zaidi ya pale ilipofikia uchaguzi uliopita, na hatimaye kufikia lengo kuu la kushika dola ili kutekeleza ilani yake kwa wananchi! Ilipofika sasa Chadema ni hatua nzuri na ni dhahiri ya kwamba wananchi wanadhani inaweza kuwa ndio chama mbadala cha kuwaongoza!
Ningependa wadau tuorodheshe majimbo 120 hapa ambayo tunadhani chadema tukijipanga basi hatukosi 100 Mwaka 2015.
1.Arusha Mjini............ Hili litabaki CDM
2.Arumeru........ Litabaki
3. Karatu......... Litabaki
4. Mbeya Mjini.......litabaki
5. Kigamboni....... Aandaliwe mgombea kutoka maeneo ya mbagala, msafi, mtu wa watu, akirudi mgombea wa sasa wa CCM chadema itashinda
6. Mkuranga......... Adam Malima akigombea, CDM itashinda
7. Hai............Kamanda ubaki hapo!
8. Igunga........ Chama kirudi kikateke analau ahadi mbili tatu though hatukushinda
.................
Naongelea Njombe Kaskazini. Huko ndiko ambako mwaka juzi chadema walimsimamisha Nyagawa akapata kura nyingi lakini hazikutosha. Hofu kubwa ya wananchi ilikuwa ni kushindwa kwake kuwa na msimamo.Jimbo gani? Njombe Kusini kwa Makinda? Njombe Magharibi kwa naibu waziri wa maji Gerson Lwenge? Au Njombe kaskazini kwa Deo Sanga a.k.a jah people?. Anyway kwa upande wa njombe kwa ujumla wake tunamtegemea mzee wetu Thomas Nyimbo. Hadi sasa amekwishafanya mambo makubwa hasa katika jimbo la Njombe Magharibi. Wito wangu watu hasa vijana wajitokeze kwa wingi kwenye majimbo yote ya mkoa wa Njombe, wananchi wanaipenda sana CHADEMA lakini bado hajatokea mpiganaji wakuteka hisia zao.
Huyo Mbunge wako wa Rombo anafanya nini mpaka sasa katika kutumia hizo fursa za biashara huko Mipakani kunufaisha watu wake?nduu/mamaya,
Hilo jina lako inaonekana wewe mi mzee wa Mashati au Useri,lol
Anyaways,jamani tujitahidi kumsaidia mbunge wetu atimize wajibu na majukumu yake ipasavyo.muda ulioko mbele yetu ni mdogo sana.Tusitoe mwanya kwa CCM kuchukua jimbo.Wananchi wa rombo ni watu wenye misimamo thabiti na wanajua wanachotaka.Ni wapole,wakarimu lakini hawana chembe ya mzaha linapokuja suala la maslahi ya jimbo lao
Wananchi wa ukanda wa chini kuanzia Mengwe chini,ibukoni,kirachi hadi kibaoni wana tatizo sugu la maji.Tuungane pamoja tuunganishe nguvu zetu kutatua kero hii.Wananchi wanahitaji soko la mazao yao na kuhakikishiwa thamani ya mazao yao
Rombo ina potentials kubwa za kiuchumi.Strategiacally,location yake kijiografia ni fursa Tosha kwa Wananchi wa Rombo kujikwamua kiuchumi na kijamii.pato la mwananchi wa Rombo ni chini ya 0.6 $.hii ni changamoto kwa wadau wote wa Rombo
Barabara iliyojengwa inahitaji kutukwamua kiuchumi zaidi na ni kiunganishi muhimu hasa kwa biasahara za mpakani na ni mojawapo wa miundombinu muhimu kuelekea harakati za viwanda vidogo vidogo na kilimo hivyo kukuza ajira na uwezo wa kununua(purchasing power).Kodi na ushuru usioeleweka ni kitanzi kwa wafanyabiashara wa Rombo.Hili tunahitaji kupambana na nalo
Hiyo kazi mnayofanya ya kuchafua majina ya watu haitafanikiwa. Nashukuru kwa kutambua lengo letu ni kuifuta CCM katika ramani ya kisiasa ifika 2015.Ila nakupa taarifa,siogopi mwanasiasa yeyote.Usijenge mazingira ya kuwatia watu hofu
Cha muhimu zaidi,Rombo tunaye mbunge na tumuunge mkono
9. Kigoma Kaskazini
10. Kigoma kusini
11. Kasulu Mashariki
12. Kasulu Magharibi
13. Muhambwe
14. Kasulu mashariki
Yote yawezekana kama tutakuwa tunatatua matatizo kwa muda na kuwapeleka si tu watu wanaoweza bali VIJANA wanaoweza