Recent content by JACKSON WILLIAM

  1. JACKSON WILLIAM

    Natafuta Tv flat screen

    Natafuta flat screen kuanzia inch 22 used yakununua alonayo anicheki
  2. JACKSON WILLIAM

    Natafuta kioo cha singsung inch 22 (LED)

    Nikwamba haipatikani au ni bei ghali?
  3. JACKSON WILLIAM

    Natafuta kioo cha singsung inch 22 (LED)

    Habari wakuu, natafuta singsung screen inch 22 Mwenye nayo anicheki (LED)
  4. JACKSON WILLIAM

    Natafuta singsung screen inch 22

    Habari wakuu, natafuta singsung screen inch 22 Mwenye nayo anicheki
  5. JACKSON WILLIAM

    Arsene Wenger aipongeza Tottenham

    arsenal wamekufa, wa subirie ligy ijayo ila msimu huu wakubali matokeo
  6. JACKSON WILLIAM

    Sportpesa: Mkenya ashinda dola Milioni 2 shindano la bahati nasibu

    Image captionAbisai Samuel alibashiri matokeo ya mechi 17 Mkenya aliyefanikiwa kubashiri kwa ufasaha matokeo ya mechi 17 mwishoni mwa wiki amejishindia jumla ya Sh221m za Kenya, ambazo ni sawa na dola 2.2m za Marekani. Mshindi huyo, Abisai Samuel, 28, ambaye ni mzaliwa wa Kakamega, magharibi...
  7. JACKSON WILLIAM

    Picha: Maandamano ya Venezuela yaendelea kushika kasi

    willyd193.blogspot.com Moto unazidi kumwakia Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwani Maandamano ya kumpinga rais huyo yameendelea tena kwenye siku ya wafanyakazi duniani, huku yakiwa yametimiza mwezi mmoja tangu yalipoanza. Katika hali ya kuwashangaza wengi, Rais Maduro, wakati akihutubia...
  8. JACKSON WILLIAM

    Arsene Wenger aipongeza Tottenham

    Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amewapongeza Tottenham Hotspurs baada ya kushinda mchezo wao wa derby ya kaskazini mwa London katika Uwanja wa White Hart Lane kwa mabao ushindi wa bao 2-0 na kuwahakikishia nafasi ya kumaliza juu ya mahasimu wao kwa mara ya kwanza toka mwaka 1995. TEMBELEA...
  9. JACKSON WILLIAM

    Abdi Banda wa Simba amesimamishwa

    Abdi Banda wa Simba amesimamishwa - WILLYD HABARI Beki wa kati wa wekundu Msimbazi Simba leo Jumapili ya April 9 2017 taarifa zilizotolewa kutoka katika kamati ya saa 72 ni kuwa amesimamishwa kuendelea kucheza mechi za VPL na kamti hiyo hadi tuhuma zake za kumpiga ngumi George Kavilla...
  10. JACKSON WILLIAM

    Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli leo ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa msaada Ocean

    Alivyosherehekea Birthday yake Mama Janeth Magufuli leo - WILLYD HABARI Mke wa Rais mama Janeth Magufuli leo jumapili ya April 9 2017 amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea na kutoa msaada katika hospitali ya Ocean Road Dar es Salaam. Licha ya mama Magufuli kuamua...
  11. JACKSON WILLIAM

    Kutoka Kanisa Ufufuo na Uzima: Gwajima awazungumzia Diamond, Halima Mdee kumtusi Spika na Utekaji

    ‘Halima Mdee nenda kaombe msamaha Bungeni’ Gwajima - WILLYD HABARI Mambo matatu aliyoyaongea Askofu Gwajima leo kanisani kwake ni pamoja swala la Mbunge wa Kawe Halima Mdee kutumia lugha isiyostahili kwa Spika wa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Ulimiss hii ‘Diamond Ameniomba msamaha...
  12. JACKSON WILLIAM

    VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

    RIPOTI YA KUTEKWA KWA ROMA - WILLYD HABARI Baada ya usiku wa jana Roma Mkatoliki, Moni pamoja na wenzao wawili kuachiwa salama baada ya kutekwa na watu wasiojulikana alhamisi iliyopita wakiwa studio za Tongwe Record Masaki jijini Dar es salaam, Bongo5 imekukusanyia matukio yote pamoja na kauli...
Back
Top Bottom