Picha: Maandamano ya Venezuela yaendelea kushika kasi

Apr 8, 2017
18
12
willyd193.blogspot.com Moto unazidi kumwakia Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwani Maandamano ya kumpinga rais huyo yameendelea tena kwenye siku ya wafanyakazi duniani, huku yakiwa yametimiza mwezi mmoja tangu yalipoanza.

download-13.jpg


Katika hali ya kuwashangaza wengi, Rais Maduro, wakati akihutubia siku ya mei mosi, alitoa wito wa kuundwa kwa Bunge la katiba nchini humo, ambalo litakuwa na mamlaka ya kuandika katiba mpya. “Ni lazima kurekebisha hali hii, hasa Bunge mbovu lililopo sasa,” amesema Maduro katika hotuba hiyo.

Bunge la kitaifa limekuwa likitaka Rais Maduro ajiuzulu, wakati taifa hilo likikabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi.

download-14.jpg


download-9.jpg


download-8.jpg


download-6.jpg


download-4.jpg


download-12.jpg


download-11.jpg


download-10.jpg


download-15.jpg




JIUNGE NA willyd193.blogspot.COM
 
Back
Top Bottom