Hivi jamani hakuna kabisa mashirika au makapuni binafsi ya kutoa ufadhili wa elimu juu zaidi ya Bodi ya Mikopo asaivii ni wazi kabisa Bodi hii imeelemewa kutokana na kuongezeka kwa wahitaji wa Mikopo ni vyema taasisi,masharika binafsi yakaisaidia kada hii watu hali ya chini wanashidwa kabisa...
Mtoa mada hebu nisaidie me ni mwanafunzi wa chuo niyayekosa mkopo mwaka wa kwanza sa nataka kuomba tena tatizo sikufanya mtihani wa semester ya pili ya kumalizia mwaka kwa kukosa ada je kulingana na sifa walizotoa Bodi ya Mikopo naruhusiwa kuomba mkopo naomba ushauri wako.
Ali kiba bure kabisa hatoi nyimbo ye mauzo mengi kuliko kazi wananikasirisha Mimi wanaomlinganisha Ali kiba na diamond ni sawa na kulinganisha hammer na bajaji havilingani kabisa.
Jamani samahani naomba kuuliza me ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana sikufanikiwa kupata mkopo na nimeshidwa kufanya mtihani wa semester ya pili ya kumalizia mwaka kwa kukosa ada na kulingana na barua ya Bodi ya Mikopo inasema kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo chuo kinatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.