Recent content by Jacks Simakula

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Ebwana wacheki pale instagram page yao watakupa msaada chap kwa haraka
  2. J

    JamiiForums Tanzania NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Kimsingi ninavyofahamu mwanachama anapata faida kila mwisho wa mwaka au ulikuwa haujui
  3. J

    JamiiForums Tanzania NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Duh! Mimi ni mhanga lakini kwa hili sikubaliani na wewe....haiwezekani uweke hela usipate faida...tuache kudanganya jamani 😌
  4. J

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Muda utaongea
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Tokea ameanza kutoa maelekezo yake siku ya kwanza kwa Mawaziri na Jana kwa Mhe. Waziri Mkuu, yeye anelekezwa tu na anaongea kwa mujibu wa chama utamsikia akisema ameagizwa, hivyo hata akiongea kwa namna yotote ile ifahamike kuwa ameongea kwa maelekezo, tusijesema ameanza tena, kwa sasa ipo wazi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania NSSF: Kwa miaka 2 ya Rais Samia, Mali za Shirika zimefikia Trilioni 8 kutoka Trilioni 5.2 Machi 2021

    Tunapoteza sana muda kujadili vitu ambavyo kila sehemu vinafanyika twendeni tukajenge taifa kwani lazima wote tuwe ofisni?? Siku hiz habari ya mjini ni kilimo biashara twendeni tumcheck Bashe aisee🏃🏿‍♂️
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Aisee hii post mnatuma lakini mimi siwaelewi😳 mbona tangazo linasema la ndani halafu nyie mnasema mwenzenu siwaelewi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Kuna wakati mwingine unaweza kuwaza kuna chuki tu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Tena jamani inaonekana huyu aliyeleta hapa alikuwa na muhemko tu, shida ya kutoelewa taarifa tuu, hii kitu imejieleza watanzania wenzangu tuwe tunasoma hivi vitu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

    MAma alianza kazi zamani sana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zabuni ya kuuza mradi wa Dege bado ipo katika mchakato

    Mkurugenzi Mkuu asema thamani ya Mfuko imeongezeka na fedha za wanachama zipo salama. Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Zabuni iliyotangazwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya kuuza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam, bado ipo katika mchakato...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli huko Dar es Salaam huwezi kupata nyumba ya kupanga bila dalali?

    Kuna muda mwingine inawezekana sana kupata bila dalali connection tu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Panya Road, tunahitaji kufumua Jeshi la polisi?

    Hawa Panya road wanakwamisha mambo mengi sana
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

    Hawa wanaopingaga ndoa ukiangalia Historia zao zina shida sana
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha korosho mkoani Manyara

    Wadau, Naomba kuuliza kuna mtu ameniambia kuwa kama mtu anataka kufanya kilimo cha mikorosho Mkoa wa Manyara ni sahihi. Je, kuna ukweli juu ya hili jambo?
Back
Top Bottom