Recent content by Jackline Bahath

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

    familia zetu za kitz zina siri nyingi sana kwa kweli
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

    Ni kweli inabidi ifike point wamuangalie yule baba kwa jicho la 3,alikosea na nina amini amejutia,palipobakia ni kumkumbuka hata kwa kidogo nadhani nafsi yake itamsuta na atapata fundisho pia,anatia huruma yule baba
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

    ni kweli baba ni baba,lkn kumbuka kuitwa baba haina maana ule uwezo tu wakumpa mwanamke mimba,la hasha. ubaba unaanzia pale kiumbe kinapotungwa,mahusiano mazuri ya baba na mtt ni tangu mtt akiwa tumboni,baada ya hapo pia ujue mtt anakula nn anavaa nn na mahitaji mengine muhimu kwa makuzi yake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

    Hiyo familia ni mfano mzuri wa kuigwa
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

    sawa boss
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

    Nitafanya hivyo kwa ajili yako boss,ingawa sijawahi kuleta uzi jf kwa mara ya kwnz nitaleta
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

    mkuu ukiona nang'ata maneno ujue jibu lenyewe linaweza kuwa topic,😂😂 ngoja tulumezee tu
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

    😂😂 weee acha kbs. Umbea sio kitu kizuri,sina hamu mm jackie
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

    😄😄 namshukuru mungu sijawahi kutwa na hilo balaa,ila nilikutwa na kisanga kingine kbs
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

    you made my night
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

    😂😂😂 ww noma
  12. J

    JamiiForums Tanzania Picha;Nguvu ya Mwanamke:Tupia yako!

    anapaka na lipstick kbs,hhahaha ngao kaigeuza kioo
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chozi Lisilofutika

    washindwe
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chozi Lisilofutika

    😂😂😂 Watu wasio na mapenzi mema na mimi
  15. J

    JamiiForums Tanzania Raphael Samuel mwenye miaka 27, anakusudia kuwafungulia mashtaka wazazi wake kwa kumzaa bila ridhaa yake.

    😂😂😂😂😂 mkuu sio kwa combination hii,duu
Back
Top Bottom