Leo nimewaletea uzi kuhusu biashara ya nguo hasa za kiume,hii ni biashara nzuri sana endapo utaifanya kwa umakini na ina faida kubwa. Mimi nimefanya hii biashara nafkri ni zaid ya miaka 10 sasa kwahy nina uzoefu mkubwa sana,mambo kadhaa kufahamu kabla hujaanza kufanya biashara hii ni;
1. lazima...
Uzi wa mwaka jana huu....njoo katoro kaka hyo pesa ni ndogo kwa dar ila hapa katoro pamechangamka sana kama kweli unataka kufanya biashara ya nguo.mimi nipo hapa katoro ntakusaidia kupata frem pia dar nina uzoefu mkubwa wa machimbo ya nguo maana huwa nafata huko naleta zangu hapa katoro.mambo...
nyomi ni kubwa sana pia na mzunguuko wa biashara upo sana,nisehem nzuri sana yakujitafuta...mi nipo hapa huu mwaka wa nne,biashara yoyote hapa unapga ila ukitaka kufanikisha kwenye biashara yoyote hapa katoro usitake faida kubwa ndo maana hapa panasifika sana kwa vitu kuwa na bei ya chini,ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.