Recent content by jack x

  1. jack x

    Hii fashion ya wanawake mnaokutana mara ya kwanza kununa au kusikitika ili uwaulize wana tatizo gani huwa mnaikwepaje wadau ?

    Kumbe huu ni mtego???.umenifungulia code kaka..nimecheka kwa sauti [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. jack x

    Mwenye ujuzi juu ya hii course anifahamishe:Bachelor degree in shipping economics and logistics

    Habari zenu wakuu.nilikuwa naomba kufahamishwa zaidi juu ya hiyo kozi tajwa hapo juu..kuhusu fursa zake,mchango wake kwenye kujiajiri na chuo gani kinatoa hiyo kozi kwa ufanisi hapa nchini..napenda kuwasilisha karibuni.
  3. jack x

    Daraja la Magufuli ni moja ya White Elephant Project kubwa sana katika nchi hii. Daraja litakuwa la kupigia picha na kurekodi Movie

    Fanya kwanz uchunguz kabla hujaanza kuongea porojo.unachokiandika hapa kinasomwa na watu wengi sana so unaweza kumanipulate watu humu.hilo daraja litasaidia kuongeza biashara kati ya mwanza na nchi jirani kama rwamda na burundi kwa sababu hii ndio shortcut nyepesi kuna baadhi ya wafanyabiashara...
  4. jack x

    Sababu za VAR kufungiwa stoo zimejulikana.

    punguza hisia toa maoni
  5. jack x

    Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

    Muombe Mungu akupe maarifa ya kutatua hiyo changamoto kama unaamin Mungu yupo.
  6. jack x

    Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

    sasa unawezaj kusikiliza vitu amabavyo hakwambii[emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom