Recent content by jack 1

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    Form 4
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    hasa yeye kalelewa malezi ya kibibi tu
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    Ngoja nijichunguze aisee Kama nikweli nitajirekebisha ila kwa huyu bint mh!!
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hili linawahusu

    Wanaume hamjui hata mnachokitaka Wakwangu Naamka asubuh naweka maji yamoto namchagulia nguo namnyooshea nablush viatu namuandalia Sox, boxer, vest na kitambaa Cha mkononi , kitambulisho cha kazin , funguo na Kalam napeleka maji Najitahidi usafi aisee Chakula hasa Cha jion hata nichelewe vp...
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    Anafanya mtihan mwez wa 11 ataenda wapi?
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    Miaka 26 si atanikunja wanikute maiti😀😀
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    Asante
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    Yeye ndio kawa Kama mwenye nyumba yan Mimi nifate anavyotaka akifanya kitu usiniulize ...ukimwachia hela ya matumiz usimuulize chenji ananuna hajibu nami nashinda kazin
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    Issue ni kibur dah!!! any way Asante nitajitahidi tu Mungu anisaidie
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani pachungu

    Naishi na mume na mtoto wa wifi angu ana 26 miaka kaja kurudia mtihan Kweli ananinyima usingizi bint hataki umwambie chochote akikosea ukimrekebisha ananuna anisemesh 1) ana group la wanafunzi wenzie wakija kusoma mpaka unaona aibu mavazi waliyovaa yaajabu ..maongez yao niyawanaume tu nikampiga...
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri wenu

    Aisee ukioa huyo mwanamke hutaishi kwa raha maisha yako yote Yan utakua Kama like kondoo tu ndani ya nyumba au Dem anakuzidi kipato nn? Alafu nashindwa kumuelewa yan mwanamke abanwe nyege baa akupandilie hapo hapo bar still unataka
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua nitoe robo ya mahari

    Laana zingine mnajitafutiaga tu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wanaomba ajira TAMISEMI kwa mfumo wa ''OTEAS'' tukutane hapa

    Nadhan kimetoka chuon hapo Cha one year
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanaomba ajira TAMISEMI kwa mfumo wa ''OTEAS'' tukutane hapa

    Mbona cha mdogo wangu hakina namba zaidi ya mtihan tu ambayo Ni adm no...je ni hiyo inatakiwa
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

    Ukweli mchungu huu
Back
Top Bottom