Wanawake hili linawahusu

Wanawake hili linawahusu

Nimekusikia, nakwambia nitabadilika
Kaka ako atakuja kukupa feedback
I'll admit I'm sorry when I feel I'm truly sorry
Things change, people change, feelings change too
Never thought the circumstances woulda changed you
 
Wanaume hamjui hata mnachokitaka
Wakwangu
Naamka asubuh naweka maji yamoto namchagulia nguo namnyooshea nablush viatu namuandalia Sox, boxer, vest na kitambaa Cha mkononi , kitambulisho cha kazin , funguo na Kalam napeleka maji

Najitahidi usafi aisee
Chakula hasa Cha jion hata nichelewe vp kazin napika Mimi
Kitandan najitahidi
Tukimaliza sex namfuta na kitambaa lain ..
Yan hakuna kazi anayoweza nikisafir hajui kila kitu kilipo
Pamoja na hayo yote anatoka nje yaan nyie Mungu awasaidie tu
 
Amina

Dada yanguu unafanya vyemaaa

Tatizo lako lipo hapaa!! Hv unajua pengine hutaki kupendeza ukiwa nyumbani, pengine unakaaa unasema kwa kuwa nipo home sitakuwa nacomplicate sanaaa!! Hapo ndo tatizo linapo anzia dada yanguu fanya hv!!

Embu ule mwenekano wako ukiwa kwwnye sherehe, kitchen party au kanisani embu ilete ndan!!
 
Nyinyi wanaume hamna jema
 
Back
Top Bottom