Recent content by Jacaranda

  1. J

    Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

    Watu bhana eti ilani ya ccm,,,mamvi aliposema ataondoa foleni dar alijuaje kama hiyo ndo ilani ya ccm.au maamuzi magumu ya kijinga anayosema atafanya amejuaje kama ndo ilani ya ccm....acheni ushabiki ..uraisi haumaanishi kufata ilani ,,,unamaanisha kwenda kinyume na matarajio ya wengine ili...
  2. J

    Monduli kielelezo cha kushindwa mbinu za Lowassa

    Nilifika monduli usiku moja wa mwezi wa nne nikiwa na lengo la kulala siku moja na kesho kufanya kazi iliyonipeleka na kisha kurudi Arusha mjini.Usiku hua unaadaa,nikiwa bado njiani taa zilizokua zinang`aa upande wa sehemu makao ya mji wa monduli yalipojengwa yalinivutia sana na kunifanya...
  3. J

    Hivi nililaaniwa niwe na wewe?

    Ni mpweke, ni pekee yangu kandokando ya bahari iliyo tulivu Mara ya mwisho kuja ubongoni mwangu ulikuja bila kukaribishwa yawaje mtu uliyeusigina moyo wangu bado wahozi fikra zangu? Ni muda tangu uondoke lakini bado nasikia harufu ya manukato yako Mmmmmh ndo miguno yo,mbona nashindwa kuizuia...
  4. J

    John Mnyika - Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA asiye na maadili

    Kifo ni njia pekee ya kuitakasa dunia.Ilikua ni bora Hitler kufa kuliko kuishi,Ni bora Iddi Amini angekufa mapema kabla hajatawala,Ni bora Osama angekufa mapemaaa labda Afghanistan isingekua kama ilivyo,Kifo sio kitu kibaya wakati mwingine kinarekenisha makosa kwa kuwaondoa watu ambao...
  5. J

    Umechukua kila kitu kutoka kwangu

    ntamalizia tu msihofu
  6. J

    Umechukua kila kitu kutoka kwangu

    Nakumbuka ilikua siku ya jumatatu nilipoanza kuziona dalili za kwanza za kifo chake,Baada ya kumaliza kupika nilikua na kawaida yakupumzika sebuleni nikimsubiri atoke kazini, kila jioni muda kama huu ilikua ni ngumu kwangu kuyazuia mawazo yangu yasitoroke na kukumbuka siku ya kwanza...
  7. J

    Kama ntaendelea kuishi 2015

    Watu hujifunza siku hadi siku kuhusu vitu viletavyo fedheha moyoni.Kwa Afrika kipindi cha uchaguzi huwa si mwanana.Kama ntaendelea kuishi zaidi ya 2015,kama moyo wangu utaendelea kudunda na mishipa yangu kutililisha damu nitambeba mtoto wangu na kumrusha juu na kisha kumdaka,nitamnong'oneza kwa...
  8. J

    Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    Hivi ccm ndo chama pinzani? Maana naona kinapinga vyote vya chadema
  9. J

    Wapi shonza wapi mtela

    Naona hapo wakiyarudi magoma.CCM tumefanya makosa mengi ila ili la kusajiri watu wasio na makuzi ya kichama ni kubwa kupita yote
  10. J

    Wapi shonza wapi mtela

    Ni muda sasa ambao tunaweza kufanya tathimini ya faida na mustakabli wa shonza na mwapamba katika chama chetu cha ccm.Je wameserve purpose ya kile tulichowarecruit? Kama sivyo ni muda wa kuachana nao kwani hawana tija.Si jambo la afya kuwa na watu wa msimu na kuwasahau vijana ambao...
  11. J

    Mgeja Mtovu wa Adabu!

    Yaani tamko lake lote limejaa mipasho.Maskni mgeja hata hajui anachokifanya
  12. J

    Kama ni huyu mbakwaji na kapuya, kapuya is innocent, kabisaaa!

    Sasa wewe walimfanyia rafiki yako mpaka akakimbia nchi sasa ilikuaje na wewe ukaingiq kingi wakati tayari ulikua unaujua mchezo wao.acha kua muongo basi
  13. J

    Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Kazi ya Nape ni kueneza itikadi,sera na imani ya chama cha mapinduzi.Tangu atoe kauli yake tata dhidi ya wazee mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote aliyelaani wala kuweka wazi kua huo sio msimamo wa chama.Ukimya huu unadhihirisha alichokisema kina baraka zote za chama Hatuwezi kushangaa kwan ccm...
  14. J

    Kifuani kwako

    Jua linapozama,nakumbuka siku ya mwisho mi na wewe Miale ya mwanga machoni pako ilikua sawa na jua linalofifia uliniponivuta nikatulia kifuani pako nilizitambua siri zote Kwamba mimi na wewe tumezaliwa tuwe pamoja Upepo unapovuma toka mbali naisikia sauti yako taratibu,nyororo na yenye mahaba...
  15. J

    Maneno yake yalinyausha filimbi yangu na kuwa kama toothprick

    Alijua chochote atakachokisema kisengeweza kurudisha uhusiano wetu,tulikuwa tumefikia hatua ya kutokuweza kuukarabati tena.Lakini hakutaka kuondoka kama aliyeshindwa,alitaka kuniumiza na kunifanya nione kile nachoficha kwenye boxer yangu si chochote wala lolote.Aliniambia hivi 'I have a...
Back
Top Bottom