Recent content by jabulani2017

  1. jabulani2017

    Msaada: Mahali gani pazuri kwenda outing hapa Dar kwa 50k?

    Nenda Levant Masaki utapata Full fish grilled + French fries yaani kwa kiswahili utakula samaki mzima changu na chips..Na utashiba and this goes for two kwa budget yako..Mazingira mazuri indeed..Ila emergency weka pia..Lakini kwa hiyo 50 mnakula wote vizuri tuu..
  2. jabulani2017

    Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

    Kwa niaba ya wala chips wenzangu,kula hatuachi na pigeni kelele za kutosha..Endeleeni na fikra potofu kuwa kula ugali ndiyo kila kitu na mkaangalie je kila mtu Duniani anakula huo ugali kama mnavyotaka kutuaminisha..Europeans,Asians,Americans na wengineo..Tusiwe close minded na kuwa confined...
  3. jabulani2017

    Aviator

    Kama ni SPORTYBET..Ingia kwemye settings weka disable account..Yangu nimeifungia kwa miaka sita maana niliona nitakuwa maskini chap..Unaweza kuuacha nina wiki 3 sasa sijaugusa maana siwezk kulog in
  4. jabulani2017

    Mara ya kwanza kutumia vilevi tofauti tofauti haya ndio yaliyonikuta

    Yes siyo grade sana ila kwa huku tafuta skanka chief...Vuta hiyo
  5. jabulani2017

    Hivi unaishi vipi na mwanaume miaka 2 bila ndoa?

    Kumekucha kumekucha..Ndiyo maana mnageukia Mirinda nyeusi kwa akili hizi...Enjoy the moment ikitokea akaona unafaa kuolewa utawekwa ndani tuu Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  6. jabulani2017

    Neno hili hukosewa sana

    Maneno mengine ya kiswahili ambayo hukosewa na watu wengi sana Mpaka watu huandika Mbaka Thamini watu huandika Dhamini
  7. jabulani2017

    Miezi 4 bila Hayati Magufuli: Kwanini Magufuli aliweza kuijenga nchi bila tozo ya mshikamano?

    Kinachofanyika sasa ni reparation ya uchumi ulioharibiwa na Magufuli...Sasa tunalipia ukimya wetu when nchi ilipokuwa inaharibiwa...Always nilikuwa nawaambia praise team around me that in the coming years tutaanza kuona aftermaths za anayoyafanya Magufuli sema walikuwa hawaoni mbali...Kuongezeka...
  8. jabulani2017

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Nipo macho toka saa saba..Nimelala kwa masaa mawili tuu na kushtuka..Ikifika saa kumi na nusu natoka kuelekea kituoni. Tukapige kura na kuzilinda. Nitakuwa nawapatia updates moja mbili nikipata nafasi.
  9. jabulani2017

    Ushawahi kujifanya mjuaji ukaja kuumbuka?

    Hehe alimalizana na Mzee wake wanavyojua wenyewe...Ila mzee alimkaushia naona..
  10. jabulani2017

    Ushawahi kujifanya mjuaji ukaja kuumbuka?

    Kipindi hiko tumemaliza form 6 tunasubiri matokeo,Likizo ndefu hivyo washikaji kutembeleana ilikuwa kawaida....sasa hiyo siku tuko wawili tunaenda kumcheki jamaa yetu home kwao..Tulifika akatupokea vizuri tuu..sema kuna kazi alikuwa anamalizia ndani kwao hivyo tukabaki sebuleni..Sasa akamuagiza...
  11. jabulani2017

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kama kuna porn directors nawashauri waje huku...kuna kila aina ya scenes Horny Milf fuvked by a teen Big booty lady has her juicy leaked Horny Nun fuvked in a charpel School girl fucked hard Horny couples fuvking in a car And many more Warning usipite xvideos
  12. jabulani2017

    Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

    Bado itatokea sana if we dont wake up..Tuendelee kufundishwa adabu hivi hivii hadi akili zikae sawa..The psycopath is still leading the nation...Ndiye ambae hashtuki hata na lolote...
  13. jabulani2017

    Kupiga Picha ukiwa ama umeshika Gari la Kifahari au umekalia katika Kiti cha Dereva huku ukijijua kabisa kuwa hujui hata Kuendesha kuna maanisha nini?

    Kwa wengine inaweza ikawa ni motivational/driving factor akitamani kufikia mafanikio hayo kwa siku za usoni.. ..Wengine hupiga ili kutry kufit in kwenye class ambayo hayupo ili aonekane na ye yumoo(Kujimwambafai) Sent using Jamii Forums mobile app
  14. jabulani2017

    Tunakoelekea tutatengwa na majirani tukijependekeza kuwa wanatutegemea, Zambia wadai mpaka wao na Tz sio salama kwa Corona

    Na the bad thing hata our passport itakuwa weak sana...mizengwe itaongezeka kwenye kupata Visa na hata safari za nje kwa wafanyabiashara na za kazi itakuwa shughuli...yote inaletwa n arrogance ya mtu mmoja na upumbavu w waTanzania wote kumchekea n kumuogopa mtu mmoja... Sent using Jamii Forums...
Back
Top Bottom