Recent content by jablesman

  1. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Tayari chuo kimeshaanza kuwatumia watu username pamoja password kwa ajili ya suasis,hvyo bas kila first aangalie kwenye email yake.
  2. jablesman

    Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    Ipo fresh tuu mkuu,ww ukifika chuo komaa mpaka miaka minne iishe!
  3. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    mkuu unasoma kozi gani pale sua?
  4. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Ndo umechaguliwa hyo ndugu?
  5. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Toa comment kulingana na mada mkuu, mimi nafikiri ingekuwa vizuri kama ungetoa ushauri kwa first year wafanye nini ili waweze kugraduate katika hiyo kozi kuliko ulichokiandika hapo wewe unakuwa mmojawapo wa wale wanaotaka kulibomoa taifa ni hayo tuu mkuu naamin wewe pia ni mwanachuo tena...
  6. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Hongera kaka kwa kuchaguliwa hiyo kozi kikubwa ni kwenda kuzingatia yaliyotupeleka pale chuoni.
  7. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Watu wanasema ni nzuri pia usihofu kama umechaguliwa hiyo kozi wewe ukifika chuo komaa nayo tu, kama kawaida halafu pia tupeanea mawasiliano maana wote tupo department moja ili tuendelee kujuzana mambo kadhaa.
  8. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Poa man nimekupata tutawasiliana zaid kupitia namba za simu.
  9. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Vijana wote waliochaguliwa sua mwaka huu,ni vizuri mkaandika kozi uliyopangiwa na kwa wale waliopangwa agricultural engineering tupeane mawasiliano,namba yangu 0718076801
  10. jablesman

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Hapana kaka but tuwasiliane through that number 0718076801.
  11. jablesman

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Mm nmechaguliwa hapo sua kaka npo DAELP kozi ya agricultural engineering vp ww umechaguliwa koz gan?
  12. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Mmh!! hyo package?
  13. jablesman

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Poa kaka upo kozi gani?
Back
Top Bottom