Duniani wapumbavu wapi wengi sana!
Eti anasema wanainchi hawataki maendeleo vitu,huu ni uzwazwa,ni uzandiki.
Kujenga hospitali,miundo mbinu,kuboresha miundo mbinu ya shule,elimu bila malipo kwa wanafunzi,kuboresha usafiri wa makini kwenye maziwa ili kurahisha usafiri pamoja mizigo kwa...