Bro, mimi ni mwanaume mwenzako ila kwa jinsi unavyomuhangaikia, kumvumilia na kumuonea huruma mkeo nathubutu kusema wewe ni husband material...
USHAURI WANGU:- kuna mambo sisi binadamu yapo nje ya uwezo wetu, mfano, hilo tatizo linalomsumbua mkeo.
kwa hiyo nakushauri chukua kiasi cha pesa, au...
Kitu ambacho wakopaji wengi hawakijui ni kuwa, wenye moyo wa kukopesha ni walewale, hivyo basi wadaiwa sugu watahangaika weee ila mwisho wa siku watarudi tu...
Siku zote huwa nawaambia wakopaji, muheshimu sana mtu anaekukopesha mkopo bila ya riba, bila ya dhamana ( bond) , bila ya kuandikishana...
Kuna thread moja nimeiona, mdada anaomba ushauri jinsi ya kuishi na mume anaye-cheat. Sasa katika michango ya wadau nimeona wengi wanamshauri mwanamke amsamehe mumewe eti kwa kuwa ameomba msamaha.
Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa "Msaliti haombi msamaha kwa sababu amesaliti bali anaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.