Mtaani digrii ni nyingi mno lakini maisha magumu sana

Bhana eeh? Kubali tu wewe na Degree yako Rudi kijijini jitoe ufahamu, chimba mitaro, beba zege.... Ili mradi maisha yaende zaidi ya hapo utapambania ununue iPhone na godoro huna
 
"Tafuta elimu usitafute cheti, tafuta pesa usitafute ajira"....

Natamani vijana wote waambiwe hayo maneno
"Matokeo ya darasani hayakutoshi kukufanya upate ajira" Jakaya Kikwete
Nenda uganda 90% ya wachuuzi ni graduates tena vijana kabisa wanauza mboga mboga. Hapa kwetu graduate anaona aibu subiri waendelee kungoja ajira za serikali. kilio kitawaumbua
 
Back
Top Bottom