Recent content by J60

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani huwezi kulisahau kwa mara ya kwanza ulipoanza kazi.

    Mimi siku hiyo nimeanza kazi nilitembea nimening’iniza kitambulisho ili watu mtaani wajue nafanya kazi taasisi furani Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natamani kikosi cha Simba kesho kiwe hivi

    Neymar yupo injury [emoji23][emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Baba yangu alikua mwanajeshi tulkua tunakaa kota za jeshi Ihumwa, kuna siku ilkua saa1 jioni, baba akampgia simu mama kua yupo zamu anaomba tumpelekee koti, tukatoka mimi na mdogo wangu kuelekea kambini kumpelekea mzee koti kufika umbali wa kama mita 4 hv kufka getini tukaskia sauti tunaambiwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wazee wa sanaa ya mapigano

    Naomba uwaelezee Ninja ,hua wananivutia sana na je ni kwann Ninja wanahusishwa na mambo ya giza ?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kujiunga na upadre

    Kama kwel unania nenda kamuone paroko wa parokia unaposali atakwambia nini chakufanya, haijalishi kama umepita seminari au laa ,kabla ya kuanza masomo lazima upite nyumba ya malezi utakaa kwa miezi6 au mwaka uone kama kwel utaweza kuendelea na hatua inayofata
  6. J

    JamiiForums Tanzania Niambie kituko kimoja ushawahi kutana nacho kwenye filamu za bongo, mimi nilikutana na hiki...

    Mganga wa kienyeji analipwa kwa tigo pesa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Najua France n maisha magumu ila me naenda kutembea2 asante kwa ushauri ubarikiwe
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Naomba kujuzwa , mfano ukiwa na tourist visa ya france inatakiwa ufanye booking hotel ya kufikia sasa hapo kwenye kufanya booking n lazma ubook cku zote utakazo kaa au?
Back
Top Bottom