Recent content by j3400041

  1. j3400041

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot yenye Ukubwa wa Ekari Moja Dodoma HQ inauzwa Bilioni 2. Kwa Mwendo Huu Dodoma Ndio Mahala pa Kuwekeza Real Estate Business

    wewe unashangaa 2 bilion kwa dodoma vipo mpka vya 7 b kwa dodoma
  2. j3400041

    JamiiForums Tanzania Tunakaribia kuachana ila naogopa sana itakuwaje kuhusu watoto wangu

    Yani wewe ni mjinga sana uache familia kisa k inaweza Kuta wewe ndio mwenye matatizo lakini hujui
  3. j3400041

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

    Hakuna msamaha kwa mwanamke mzimifu sio mimi ni bibilia takatifu
  4. j3400041

    JamiiForums Tanzania Kama umenunua Bajaji ya Milioni 20 ili upewe 20k kwa siku basi unafanya biashara kichaa

    Mimi ni huhanga wa biashara ya bajaji ilibakia kidogo nipate madam kesi maana kila dereva ni kichaa wote wamesha fundishana ujinga
  5. j3400041

    JamiiForums Tanzania Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

    Wewe umekuwa Leo? Masister wa kanisa katoliki wengi wanakuwa na mabwana wa kislama
  6. j3400041

    JamiiForums Tanzania Arusha Ushoga na Usagaji umeshamiri hadi Bar za kuuza mashoga zipo

    Arusha Kuna mtu anaitwa batee muuza simu za wizi ndio bingwa wa kuharibu vijana na police ndio wanao mlinda
  7. j3400041

    JamiiForums Tanzania Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

    Mwananume unatakiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja ili huyo mkubwa akichukuliwa na watoto wake awepo mdogo wa kukulea na wewe
  8. j3400041

    JamiiForums Tanzania Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Alafu mnakuja kutuambia zanzibar ni tanzania
  9. j3400041

    JamiiForums Tanzania Aweso atembelea UDOM, changamoto ya maji kutatuliwa

    Awesso hana lolote dodoma chidachi west watu hawana maji kisingizio hakuna umeme
  10. j3400041

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Mimi nijuavyo mali aliyo kukuta nayo si mali ya ndoa na hata mali utakazo mkuta nazo sio mali ya ndoa pia kwahiyo kama ni kweli alikukuta na mali zako hazita guswa ila mlizo chuma mkiwa wote lazima zigawanywe
  11. j3400041

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    kuhusu uimara nazingatia sana hilo mkuu maana mimi ni mjenzi pia lakini ukiweka mfumo wa slab inarahisisha kuongeza mambo mengine kama mgahawa na mengineo manaa tatizo la mazingira yetu ni maeneo kuwa madogo na ukitaka kiwanja cha jirani atakuuzia bei ya kukomoa
  12. j3400041

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    mkuu kama itakupendeza nitumie picha dm yangu maana mimi nilikuwa mbioni kujenga lodge baada ya wapangaji kunisumbua sana ila mimi nilitaka kuweka mfumo wa slab ili ikikuwa naongea kwa juu tu
  13. j3400041

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    kwa kweli mkuu umenipa moyo sana maana nyumba za kupanga ni usumbufu mkubwa sana na bado itachukua muda mrefu sana kurudisha garama zako
  14. j3400041

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

    Boss ni chama maana serikali inatokana na chama
  15. j3400041

    JamiiForums Tanzania Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

    Sawa kabisa mkuu
Back
Top Bottom