Recent content by j2015

  1. J

    Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

    Hadi leo sijui naweka dawa ya meno kiasi gani kwenye mswaki. Pia sijui natakiwa nipige mswaki kwa muda gani. Kwa dakika 5 au 10 au ??
  2. J

    News :

    Nenda mahakama yeyote ile hasa hizi za chini waambie unataka affidavit watakupatia
  3. J

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    TCL yangu 55" imevunjika kioo. Mashine ni nzima kabisa. Naomba anayeuza kioo ani PM tuongee biashara
  4. J

    Msaada : TV INCHES 55 INAHITAJIKA .

    Samahani kwenda nje ya mada. Naweza pata kioo cha TCL 55"? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    Tatizo la internet kwenye mtandao wa Tigo

    Jaribu kuangalia settings za internet. Mara nyingi ukiweka laini inafanya settings automatically. Unakuta kuna neno tigoweb. Hiyo inakuwa ni 2G. Add new APN. Pale kwenye name andika tigo internet na kwenye APN andika internet then save halafu chagua hiyo APN uliyocreate. Hapo kama maeneo mazuri...
  6. J

    Usumbufu huu kwenye kurenew line za Tigo ni kero kubwa

    Kwa sasa ukipoteza laini ndio utaratibu unaotumika sio tigo pekee hata mitandao mingine. Inabidi uende kwenye mtandao husika ambapo watakupatia form. Ukitoka hapo uende kituo cha polisi kilicho karibu na eneo laini ilipopotea upate RB halafu uende kulipa sh 500. Bila kufuata hizo hatua...
  7. J

    Nahitaji laptop ya bei ndogo

    Nina hp yenye ram 4gb na hard disk 500gb nauza laki 3 kuna mambo yamenitinga. Ongeza hela upate kitu cha maana
  8. J

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Asante, hauna tcl iliyozidi 50". Kama ipo bei gani? Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  9. J

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hii tcl 50" ni mpya? Kama ndio warrant yake ni ya muda gani?
  10. J

    Kulikuwa hakuna haja ya kuchangisha madawati serikali imekosa ubunifu

    CCM walisema watatoa elimu bure hadi kidato cha 4, CHADEMA hadi chuo kikukuu. Hii kitu ya kusema wameiba kutoka CHADEMA imetoka wapi? Ushauri ni mzuri kwa serikali nadhani wanaweza wakaufanyia kazi ila ingekuwa vizuri zaidi ungeutoa bila kuingiza uchama. Haya mambo ya CCM na CHADEMA kutaka...
  11. J

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kampuni gani? Ni smart or sio smart?
  12. J

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nataka inch 50 au 55 mpya ambayo ni LED nipo Dar. Sio lazima iwe smart
  13. J

    Yanga katika vita kubwa Kombe la Shirikisho leo

    Mwenye link ya kuangalia online naomba atuwekee wengine muda huo hatutakuwa karibu na tv
  14. J

    Chuo kikuu UDSM maringo kibao ila hamna lolote

    Nadhani mtoa mada unalamikia ndugu yako kukosa nafasi na si ubora wa UDSM. Hivi umeshawahi kujiuliza wanatumia vigezo gani kupata rank za vyuo vikuu bora? Kuna wakati inapanda hadi kufikia chuo kikuu bora Afrika Mashariki, je wanapendelewa? Na wakishuka je wanaonewa? Kwa nini hivi vyuo vingine...
  15. J

    Kiatu cha mfungaji bora ligi kuu Tanzania, ni kweli ni cha dhahabu?

    Tatizo tunalazimisha mambo. Kwani lazima wakiite golden boot kama hawana uwezo wa kutoa kiatu cha dhahabu? Wangeweza hata kutengeneza kiatu cha mti wa mpingo na kukiita 'mgingo boot' bado ingekuwa na maana kama zawadi kuliko kutumia neno gold wakati sio dhahabu
Back
Top Bottom