Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 828
- 407
Nipo Singida nahitaji hii ya 42 itakuwaje sasanilipiga simu akapokea sijui mke wako akaniahidi ukirudi utapiga naona umesharudi
Nipo Singida nahitaji hii ya 42 itakuwaje sasanilipiga simu akapokea sijui mke wako akaniahidi ukirudi utapiga naona umesharudi
bado ipo mkuuLG 43" Smart 4K UHD TV(2017)
Model: 43UJ634V
Bei: 1,250,000
Contact: 0713086602
View attachment 835224
Tcl 400000/-Nahitaji tv smart 32".kabila lolote kati ya hisense,lg,samsung,tcl,sony,philips na sharp
Pamoja na usafiri ?Tcl 400000/-
Samsung 550000
Lg 550000
Star x 400000
Pamoja na usafiri ?
vip kuna Hisense smart 32' na ni bei gani kama ipo?Hisence smart 40"
Bei 600000View attachment 1112995View attachment 1112996View attachment 1112998View attachment 1112999View attachment 1113000
0777650286, 0718919725
Zipo mkuu smart 400000vip kuna Hisense smart 32' na ni bei gani kama ipo?
poa ntakutafuta basiZipo mkuu smart 400000
Led 340000
Pamoja mkuupoa ntakutafuta basi
huwa ni mpya au zimeshatumika?Pamoja mkuu
huwa ni mpya au zimeshatumika?
TCL yangu 55" imevunjika kioo. Mashine ni nzima kabisa. Naomba anayeuza kioo ani PM tuongee biashara
pamoja sanaMpya kabisa sealed
Mwanza vipi kuzipata hizo?Mpya zipo nchi 32 samsung tunakutumia. Bei 460,000 mpaka inafika arusha.
Mtumba zipo samsung na lg:
Nchi 32 - 380,000 mpaka arusha
Nchi 37 - 480,000 mpaka arusha
Nchi 42 - 500,000 mpaka arusha
Hizi za mtumba mtu asipokwambia unaweza zani ni mpya kwa jinsi zilivyo na hali nzuri. See sample photo attached.View attachment 1084034View attachment 1084035
Zipo mkuu smart 400000
Led 340000
Mkuu unamaanisha led yaHisense ya kawaida ni laki 340000 .hebu tuwekee specification au model yake tuitizame mtandaoni
Hiyo mkuu, model no ntakutumia kesho in shaa Allah mana kwa sasa nishafika homeMkuu unamaanisha led yaHisense ya kawaida ni laki 340000 .hebu tuwekee specification au model yake tuitizame mtandaoni