Recent content by J the jojo

  1. J the jojo

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Jamn asilimia tunaangaliaje
  2. J the jojo

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Jmn msaada mwenzenu sijui jinsi ya kuangalia hata ya kwanza sikuangalia nashindwa mwenye ujuz anielekeze
  3. J the jojo

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Mara paap hayatoki kabisa
  4. J the jojo

    JamiiForums Tanzania Mhimu kwa waombaji wa awamu ya pili

    Acha uongooo
  5. J the jojo

    JamiiForums Tanzania Mhimu kwa waombaji wa awamu ya pili

    Mi najua hata ukiwa na 3 yenye cutting point 4 degree unaenda na cutting point 3 kushuka chini hiyo ndo itakayoruhusu diploma....!!!
  6. J the jojo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Naanza leo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J the jojo

    JamiiForums Tanzania Uso wangu una mafuta mengi, tafadhali nisaidieni

    Tafuta' vovi deep cleanser' itakusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J the jojo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahisi upendo umepungua kati yangu na mpenzi wangu

    Hiyo ni pua yangu na mdomo wangu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J the jojo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahisi upendo umepungua kati yangu na mpenzi wangu

    Jamn nipo kwenye mahusiano na mpenz wangu kwa miaka minne tumevumiliana kwa mengi ila nahisi upendo umepungua umebaki uvumilivu..!! Ila kuna mwanaume ananipenda sana nimkubalie nimuache....!!!?????? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J the jojo

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuendelea na ajira ya ualimu serikalini nimeacha kazi

    Fikiria kwa undan we mwalm gan unashindwa kujiongeza??? Huu uongoz unakikomo chake muda ukiisha utapata kiongoz mwingine na marupurupu yatakuwepo utataman kuludi serikalin Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J the jojo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuacha huyu mwanamke, sababu anavaa kikuku

    Nilisikia MTU anapovaa kikuku inamaana anajiuzaa....so ilikuwa inamrahisishia mnunuaji kumtambua kwa haraka sijui iyo iman kama bado ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J the jojo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Mimi tu inanitokea au lah! !!!

    Mkono mtupu haulambwi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J the jojo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Duhh...namm nisaidie iyo program maana mpenz wangu ninawaswas nae Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom