Mhimu kwa waombaji wa awamu ya pili

Mhimu kwa waombaji wa awamu ya pili

janeesh

New Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
3
Reaction score
0
Ivi principle pass ya kusoma stashahada ya ualimu wa secondary ni kuanzia D au E? tafadhari!
 
Mimi ninavyojua kwa mwaka huu stashahada ambayo ni diploma kwa lugha nyingine inatakiwa uwe na division 3. Kwenye matokeo ya kidato cha sita ,na division 3 ya mwisho ni points 17 ambayo ina principle 2 kwa mama ya E mbili.
Hii ni minimum lakini waweza kuwa matokeo mazuri zaidi
Kila lakheri mkuu
 
Mi najua hata ukiwa na 3 yenye cutting point 4 degree unaenda na cutting point 3 kushuka chini hiyo ndo itakayoruhusu diploma....!!!
 
Mimi ninavyojua kwa mwaka huu stashahada ambayo ni diploma kwa lugha nyingine inatakiwa uwe na division 3. Kwenye matokeo ya kidato cha sita ,na division 3 ya mwisho ni points 17 ambayo ina principle 2 kwa mama ya E mbili.
Hii ni minimum lakini waweza kuwa matokeo mazuri zaidi
Kila lakheri mkuu
sorry kwa mwenye EDC form six wa mwaka 2014 anaruhusiwa kuomba diploma ya ualimu?
 
Acha uongooo
Mkuu.. Huo ndio ukweli soma guide book utaelewa hao ndo wazee wa gpa C ilikua 40..!!!! Bado wamebebwa ilitakiwa wasiende bila B mbili maana B yao ndio D ya mwaka huu 50
 
Kuna watu weng wanasoma degree wakiwa na ufauru wa ajabu kwa mwaka 2014
 
Back
Top Bottom