Recent content by izet

  1. I

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
  2. I

    GE2020 Kamarada Mrisho Gambo apeleka kilio CHADEMA

    ALICHUKULIWA JUA KALI,MOLLEL,MASHINJI, MBONA CHAMA BADO KIPO
  3. I

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Watanzania wanajitambua nilichokiona jana kwenye tbc ni mkwara bubu kuwa eti ukichagua upinzan ni shida kwa miaka 5.
  4. I

    GE2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

    KAMA NI KWELI INANIKUMBUSHA KESI YA UCHAGUZ ILIYOFUNGULIWA HIGH COURT MUSOMA NA S.WASSIRA KWA KUWAWEKA JAMAA ZAKE AKIWEPO ALIYEJIITA MWL.DHIDI YA E.BULAYA ILA NAKO WALISHINDWA.
  5. I

    Tanzania ni nchi huru hatupaswi kuingiliwa mambo yetu

    UNAFIKIRI UNAINGILIWA? AU UNAKUMBUSHWA KUSIMAMIA SHERIA NA KATIBA?
  6. I

    Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

    UNAFIKIRI MAMA YAKO ALIMPENDA BABA YAKO SABABU YA MAPENZI TU.
  7. I

    Waziri Mwakyembe: Hakuna Chombo cha Habari cha Kimataifa kilichofungiwa na Serikali

    UNAFIKIR ALICHOONGEA ANAMAANISHA? HII TREND YA WANASIASA KUZIMIWA SAUTI HUIONI?
  8. I

    Sijamwona Freeman Mbowe hapa ibadani

    Amelewa bado anahangover.Munamtaka wann
  9. I

    GE2020 Madiwani wa CHADEMA waliohamia CCM ,wapukutishwa Arusha

    Write your reply...ACHA WASOMESHWE NAMBA
  10. I

    Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Hawa jamaa washajua kuwa watapoteza wateja ndio maana hawatoi balance.Hasa wakijua unataka kuwalipa kuachana nao.
  11. I

    Mtangazaji Hassan Ngoma amshangaa na Kumponda Mbunge Halima Mdee kwa kutoa siri za Bunge hadharani!

    Hassan Ngoma ni nani haswa maana kuna mada zinaletwa humu za kichochezi.Kwa mawazo yangu aachwe na mawazo kwan anajua anachokitaka
  12. I

    Zitto pambana na hoja bungeni, usilazimishe Mahakama kuingilia mihimili ya Bunge na Serikali

    Zitto anajitambua na anajua anachokifanya cha msingi tusubirie muda ufike
  13. I

    Kama CHADEMA inakusanya Tzs 500,000 kwa mbunge kila mwezi had leo wana kiasi gani?

    UNAULIZA UKIWA NA DHAMIRA GANI NDUGU,HAYO YA KWAO
  14. I

    TUCTA yaianika serikali ya CCM ubabe wa kuwaibia watumishi mafao yao

    Nilifikiri kuna tija kumbe hamna kitu Mungu atasaidia
Back
Top Bottom