Recent content by IZENGOHADITHI

  1. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza DVD Dublicator

    Ina ram 540,milango 8 moja master aina ya Zec na ipo katika hali nzuri kabisa,imebarn DvD 1,000 tu.
  2. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza DVD Dublicator

    Ina ram 540,milango 8 moja master aina ya Zec na ipo katika hali nzuri kabisa,imebarn DvD 1,000 tu.
  3. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza DVD Dublicator

    picha nashindwa kuiweka (in baba sizo... voice) kwenye mabano sijakuelewa
  4. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza DVD Dublicator

    Wadau nilinunua hii mashine mwaka jana mwezi wa 11 hivyo bado mpya ina milango 8 na master,shilingi 600,000/=,kinachonisababisha kuuza ni kukosa usimamizi wa biashara niliyotaka kuifanya. Mawasiliano 0717986042
  5. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania Lowassa asisubiriwe anogewe na midundo, arejeshwe alipotoka!

    mbona umeandika mawazo yangu niliyotaka kuandika humu?Naunga mkono hoja afukuzwe haraka kabla ya kuchafua ama kweli "kinyesi walikitoa chooni na kukiweka sebuleni"Nukuu za Dr. Slaaa
  6. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    Naandika hili nikiwa na masikitiko makubwa na nimeumia moyoni.Niliposikia kiongozi mkubwa wa upinzani kuhamia CCM Nilikimbia dukani mara moja kununua voja ya 5,000 Ili niwe wa kwanza kumuona kiongozi huyu mkubwa ambaye angeweza kuandika Historia Duniani hata Mbinguni.Kadri muda ulivyoenda...
  7. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    Tetesi Mumala wa tigo pesa umeshindikana,mpaka laini ikaongezewe uwezo.
  8. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania Hakika anaumwa tumuombee apone

    umeshiba nini asubuhi hii?Leo umeona ni busara kutokujibu hoja za Lisu sababu ni mgonjwa,wakati uchaguzi wa Naibu meya mlitaka kufanya huku mgombea akiwa mahututi.Jibuni hoja,pia mjua Mungu sio "SKUNK"
  9. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Tanzania yachanua utawala bora ripoti ya Mo Ibrahim

    africa ipi ?
  10. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania Sakata la Airtel na TTCL: TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao 100%

    Nimesoma makala hii nimegundua kuwa wasiojulikana wanamiliki kampuni kubwa nawana pesa ile mbaya,kumbe walianza nzamani IKIWA imepita siku moja tangu Rais John Magufuli amwagize Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, kuchunguza undani wa suala la umiliki wa kampuni ya simu ya Airtel...
  11. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Tanzania Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

    Unatakiwa kumpangia majukumu kulingana na mshahara wake,mwenzio nimempangia kuwa yeye anahusika na mambo ya chakula cha nyumbani na menu ya aina ya chakula tumepanga ili kuepusha kula kande kila siku,akikushinda mshtaki kwa washenga,shangazi zake,mama yake hata dada zake ili wamwambie.Kiukweli...
  12. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Kenyata

    Unaona sio kitu kwa kuwa halijakutokea
  13. IZENGOHADITHI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Kenyata

    Ulitaka hadi atukane,kama alisimamisha kwa muda kampeni zake kwa nini sisi hata bendera zipepee nusu mlingoti kwa siku moja au nusu siku?
Back
Top Bottom