Shikamoo Kenyata

IZENGOHADITHI

Member
May 5, 2017
21
39
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametumia muda wake akiwa kwenye mkutano wake wa kisiasa kutoa salamu za pole kwa Watanzania kutokana ajali iliyoua 32 wakiwemo wanafunzi 29 wa darasa la 7.
Kenyata alisima pamoa na Mkutano wake kwa muda na kuomba mkutano huo usimame kwa heshima ya watoto wengi wengi karibu 32 waliofariki Tanzania
Hili naweza kusema ni dongo la kiaina kwa Mkulu.
 
malaika atawaombea wawekwe mahali pema haina shida ht akikaa kmya
 
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametumia muda wake akiwa kwenye mkutano wake wa kisiasa kutoa salamu za pole kwa Watanzania kutokana ajali iliyoua 32 wakiwemo wanafunzi 29 wa darasa la 7.
Kenyata alisima pamoa na Mkutano wake kwa muda na kuomba mkutano huo usimame kwa heshima ya watoto wengi wengi karibu 32 waliofariki Tanzania
Kuna tusi gani kwa kitendo hicho?
 
Hata TV na radio station za hapa kwetu walikuwa wanaendelea na mambo yao kama kawaida as if hakijatokea kitu hapa nchini.
 
A lie may take care of the present but it has no future, siasa na roho za watoto zetu tuziache kiongozi atoe salamu au la si tunaangalia xhida zetu,
 
Kuwe na Wahariri wa kujitolea...hizi nyuzi nyingine zinakula muda wa watu bure tu.
 
Back
Top Bottom