Recent content by izackpk79

  1. izackpk79

    Je, ni kweli Ugali wa Dona ni bora kuliko wa Sembe?

    mtoa mada ametupatia elimu nzuri, ukisoma vyema na kutafàkari yaliondikwa kwenye pointi zake, hazina "nguvu ", naona sehemu nyingi "dona ina kiasi kidogo cha wanga..." haujatuambia ni kivipi...
  2. izackpk79

    DOKEZO IGP tuokoe na wizi ulioibuka Arusha unatisha

    nadhani ungekua na akili mara tatu zaidi ya hapo bado ungekua dumb tu...[emoji706][emoji706][emoji706]
  3. izackpk79

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    ndugu umeupata...???
  4. izackpk79

    Hitimisho na majibu ya battle ya Arusha na Mwanza

    kaka...acha makasiriko...izo zote facts hapo...hajadanganya...ama kuna seem kuna tatizo...ongezea tuone au punguza lenye uongo...[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
  5. izackpk79

    Hitimisho na majibu ya battle ya Arusha na Mwanza

    unekill...full maukweli...hujadanganya...hatupingi...
  6. izackpk79

    Nimesitisha kutoa mahari

    apate maji baridi kwanza apoe...
  7. izackpk79

    Natafuta Walimu wa hisabati kupitia mtandao wa zoom

    vigezo vipi mkuu...na mawasiliano pia...
  8. izackpk79

    Picha ya Nabii Mkuu Dkt. Geordavie yapandishwa katika kilele cha mlima Kilimanjaro

    ifike kipindi watu wazima waelimishwe kuliko watoto wadogo...watu hawana maarifa au kuna tatizo la akili sana...
  9. izackpk79

    SoC02 Bangi iwekwe huru

    sidhani kaka...kuhusu uhalifu nadhani iyo ni tabia ya mtu tu na sio bangi...hii dhana ya kua mvuta bangi ni mhalifu (inayosambazwa na wanaopinga matumizi ya bangi) naona kama inajengeka tu akilini kwa mhalifu ambae pia anavuta bangi "manipulation" na sio kwamba baada ya kuvuta ndio anakua...
Back
Top Bottom