jamani hii ziyo siasa! hata mheshimiwa mbunge hajazikwa, tayari vurugu zimeshaanza kutokea kuhusu mgombea wa nafasi aliyoiacha wazi huko aru meru mashariki! kisa hikikilitokea ijumaa mjini moshi pale baada ya tuhuma kutolewa dhidi ya katibu wa chadema mkoa wa kilimanjaro bazil lema, amepewa...
jamani siyo siri ya kuwa magazeti ya nation na taifa leo ndiyo yaliyosababisha vita kule kenya baada ya uchaguzi 2007. nation ndiyo wamiliki wa mwananchi na citizen na ndiyo huko wanataka kutupeleka, mbeya tumewashtukia na tayari tumeanza kuwasusia na leo hii niko safarini arusha pia...
jamani siyo siri ya kuwa magazeti ya nation na taifa leo ndiyo yaliyosakule kenya baada ya uchaguzi 2007. nation ndiyo wenye mwananchi na citizen na ndiyo huko wanataka kutupeleka, mbeya tumewashtukia na tayari tumeanza kuwasusia na leo hii niko safarini arusha pia nimeanza kuona dalili kama...
wewe na hawa kenge ni nani? hata moyo wako unakusuta! unamtukana mtu ambae hata hajui kama uliingia duniani na ujinga wako huo siku ulipozaliwa. hala waratibu wa jf mnaangalia tu! lakini kama ingekuwa ni wana chadema wametukanwa tayari mhusika angeshafungiwa, be fair please! acheni umachame hapa.
Dkt. umejibu kistaarabu kabisa, protokali unaifahamu vyema, ni matumaini yangu hauko mbali kukutana na kiongozi wa nchi na mambo yatakuwa mazuri. Big up! ingawa kuna taarifa arusha nzima ya kuwa una matatizo na mwenyekiti mbowe kwa vile hukupenda wazo la kwenda ikulu! pia kuna maneno mengi tu ya...
Ufisadi kwa waandishi nao uko kwa mfano, waandishi wa habari kilimanjaro
1. Mbunge wa rombo joseph selasini, juzi alimfunga paka kengele kwa kuelezea jinsi baadhi ya wanahabari wa mkoa huo wanavyowanyanyasa wadau wao ili wapewe kitu kidogo. Habari hiyo imechelewa sana ila tunamshukuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.