CHADEMA hawana huruma

IVETA

Member
Jan 15, 2012
8
0
jamani hii ziyo siasa! hata mheshimiwa mbunge hajazikwa, tayari vurugu zimeshaanza kutokea kuhusu mgombea wa nafasi aliyoiacha wazi huko aru meru mashariki! kisa hikikilitokea ijumaa mjini moshi pale baada ya tuhuma kutolewa dhidi ya katibu wa chadema mkoa wa kilimanjaro bazil lema, amepewa rushwa ya shilingi milioni 20 na mtu ambae ana nia ya kugombea kiti hicho kwa tiketi ya chadema ili ampigie debe kwa uongozi wa chama hicho taifa ambako lema anadaiwa kuwa na sauti kubwa.

Haya yamefichuka baadaya lema kukutana na mgombea huyo na watu wanaodaiwa wanatoka aru meru ambao ni wapiga debe wazuri katika hoteli moja ya kitalii mjini moshi.

sisi tunasema ya arusha tuachiwe waarusha wenyewe, tuna kamati zetu za kuteuwa wagombea wa nafasi zote.
 
mbona majungu hivi?hivi ni sahihi kwa maafisa wa ubalozi wa tanzania kule new york kujiburudisha na taarabu ya mzee yusuph huku mkuu wa kaya na viongozi wote wa chama na serikali wakiwa kwenye msiba?acheni propaganda za kitoto !!!!
 
Hizi habari umezinukuu kwenye Amua, Sani, Uwazi, Championi au Kasheshe?

Kama ni huko uniambie kabisa, kwa mwanaume kama mimi ni dhalili ya uanaume wangu kushiriki mambo ya kitchen party
 
jamani hii ziyo siasa! hata mheshimiwa mbunge hajazikwa, tayari vurugu zimeshaanza kutokea kuhusu mgombea wa nafasi aliyoiacha wazi huko aru meru mashariki! kisa hikikilitokea ijumaa mjini moshi pale baada ya tuhuma kutolewa dhidi ya katibu wa chadema mkoa wa kilimanjaro bazil lema, amepewa rushwa ya shilingi milioni 20 na mtu ambae ana nia ya kugombea kiti hicho kwa tiketi ya chadema ili ampigie debe kwa uongozi wa chama hicho taifa ambako lema anadaiwa kuwa na sauti kubwa.

Haya yamefichuka baadaya lema kukutana na mgombea huyo na watu wanaodaiwa wanatoka aru meru ambao ni wapiga debe wazuri katika hoteli moja ya kitalii mjini moshi.

sisi tunasema ya arusha tuachiwe waarusha wenyewe, tuna kamati zetu za kuteuwa wagombea wa nafasi zote.
ha ha ha ! Magamba bana kwa uzushi yani yanafitnisha chadema.... Koz yanajua ni tishio kwa ccm sasa nyie subirini muone kazi ndo mtajiona mavi.
 
Hicho kiti kilishapigiwa hesabu hata kabla Sumari hajafa. Mnaweka mgombea anafanyia kampeni kitandani maana yake nini?
 
ha ha ha ! Magamba bana kwa uzushi yani yanafitnisha chadema.... Koz yanajua ni tishio kwa ccm sasa nyie subirini muone kazi ndo mtajiona mavi.

hahaa wanaogopa moto wa chadema arusha..mkuu hilo jimbo tayari la cdm
 
huo ndo ukweli,hata baada ya kumzika mtema wiki moja tu wakaanzisha mchakato wa kumtafuta mrithi.asiye wajua chadema ataona habari hizi ni uzushi!
 
Hata kama ni kweli kuna tatizo gani? Nafasi iko wazi na ni wajibu kuzibwa. We have no time to waste. Tanzania haitaweza kuendelea kwa mwahazo mgando ya kuomboleza au kusheherekea kwa miezi. Aliyeweka hii post hapa ajue kuwa nae alichelewa kujiunga humu (January 2012). Hakuna muda wa kupoteza.
 
jamani hii ziyo siasa! hata mheshimiwa mbunge hajazikwa, tayari vurugu zimeshaanza kutokea kuhusu mgombea wa nafasi aliyoiacha wazi huko aru meru mashariki! kisa hikikilitokea ijumaa mjini moshi pale baada ya tuhuma kutolewa dhidi ya katibu wa chadema mkoa wa kilimanjaro bazil lema, amepewa rushwa ya shilingi milioni 20 na mtu ambae ana nia ya kugombea kiti hicho kwa tiketi ya chadema ili ampigie debe kwa uongozi wa chama hicho taifa ambako lema anadaiwa kuwa na sauti kubwa.

Haya yamefichuka baadaya lema kukutana na mgombea huyo na watu wanaodaiwa wanatoka aru meru ambao ni wapiga debe wazuri katika hoteli moja ya kitalii mjini moshi.

sisi tunasema ya arusha tuachiwe waarusha wenyewe, tuna kamati zetu za kuteuwa wagombea wa nafasi zote.

hapo kwenye nyekundu hueleweki, sasa tukuachie ya Arusha kwani wewe ni wa CHADEMA..? si anatafutwa mgombea kupitia tiketi ya CDM...? na huyo Lema unayemsema kwani ni wa wapi..? halafu hata hivyo hiyo ndo siasa...
 
jamani hii ziyo siasa! hata mheshimiwa mbunge hajazikwa, tayari vurugu zimeshaanza kutokea kuhusu mgombea wa nafasi aliyoiacha wazi huko aru meru mashariki! kisa hikikilitokea ijumaa mjini moshi pale baada ya tuhuma kutolewa dhidi ya katibu wa chadema mkoa wa kilimanjaro bazil lema, amepewa rushwa ya shilingi milioni 20 na mtu ambae ana nia ya kugombea kiti hicho kwa tiketi ya chadema ili ampigie debe kwa uongozi wa chama hicho taifa ambako lema anadaiwa kuwa na sauti kubwa.

Haya yamefichuka baadaya lema kukutana na mgombea huyo na watu wanaodaiwa wanatoka aru meru ambao ni wapiga debe wazuri katika hoteli moja ya kitalii mjini moshi.

sisi tunasema ya arusha tuachiwe waarusha wenyewe, tuna kamati zetu za kuteuwa wagombea wa nafasi zote.

HA HA HA HAA AAAHHHAAAAA. Naomba nikwambie hiviiiii NA BADO! MTALIA SANA CCM mpaka ifike 2015.
 
By IVETA jamani hii ziyo siasa! hata mheshimiwa mbunge hajazikwa, tayari vurugu zimeshaanza kutokea kuhusu mgombea wa nafasi aliyoiacha wazi huko aru meru mashariki! kisa hikikilitokea ijumaa mjini moshi pale baada ya tuhuma kutolewa dhidi ya katibu wa chadema mkoa wa kilimanjaro bazil lema, amepewa rushwa ya shilingi milioni 20 na mtu ambae ana nia ya kugombea kiti hicho kwa tiketi ya chadema ili ampigie debe kwa uongozi wa chama hicho taifa ambako lema anadaiwa kuwa na sauti kubwa.

Haya yamefichuka baadaya lema kukutana na mgombea huyo na watu wanaodaiwa wanatoka aru meru ambao ni wapiga debe wazuri katika hoteli moja ya kitalii mjini moshi.

sisi tunasema ya arusha tuachiwe waarusha wenyewe, tuna kamati zetu za kuteuwa wagombea wa nafasi zote.

Tehe, tehe, tehe. Mimi nafikiri humjui Basil unayemzungumzia! kuonyesha kuwa humjui hata jina lake umekosea kuliandika. Hivi huyo mgombea anaye weza kuhonga milioni ishirini si angezitumia kwa shughuli za maendeleo. Siasa ni mchezo mchafu, nani asiyejua? Leo hii mtu ahonge kwasababu gani.
Ngoja nikueleze kidogo Basil Lema ni nani? Ni mzalendo, anayeipenda nchi yake hawezi kuhongwa na yeyote. "Omba radhi tafadhali". Tena nina wasiwasi wewe hata Arusha huijui iko upande gani wa ramani ya Tanzania
 
Back
Top Bottom