Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba kuelekezwa kuset screen picha, video na maandishi yaonekane standard.
Kwa sasa vinaonekana kama vimebend hivi kushoto na kulia ila mwanzo ilikuwa sawa.
Tatizo limejitokeza baada ya kubadilisha Window.
Mfano nikiangalia picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.