Recent content by ivanov sergei

  1. I

    JamiiForums Tanzania RC Makonda anamlenga nani katika zoezi la watoto waliotelekezwa?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  2. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kufufua ATCL ni shabaha yetu sote Watanzania. Tunapishana kwenye mbinu za utekelezaji

    Zitto ni mnafiki sana. You are very right ,ndg
  3. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kufufua ATCL ni shabaha yetu sote Watanzania. Tunapishana kwenye mbinu za utekelezaji

    Zitto ni mpuuzi tu. Alizoea kupiga pesa kupitia scandals za ufisadi enzi ya JK. Kazi yake kupotosha public opinion. Nyakati zimebadilika hvo na yeye abadilike.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo(HESLB) Acheni roho mbaya, mshahara mdogo nao mnautolea macho

    Hyo riba ni wizi mtupu. Poleni sana.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] hyo kali
  6. I

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Rais ni taasisi. Wasubiri tu ombi lao litajibiwa
  7. I

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Kumbe hata DNA haijatumika bado kuthibitisha madai yako yet you point finger to him? Acheni kutoa kauli za kisiasa ktk mambo serious kama hayo
  8. I

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Una ushahidi au unaropoka tu kisa umetaitiwa ndg?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Maaskofu hawa tuwajuao haswa wa KKT ambao hugombania madaraka mpk kupelekana kortini na mpk wkt mwingine serikali kuingilia kati kusuruhisha migogoro yao? Leo mnataka kuwapa u-mungu? Hebu acheni kbsaa utani.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Kbsaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  11. I

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  12. I

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Hamna kitu hapo. Tusiwavike maaskofu sifa za kimungu. Hawana ushawishi kwa kiwango hicho unachotaka kuwapa. Wao wenyewe wapiga dili tu. Inaonekana kuna sehemu wametaitiwa tu ila hawataki kusema waziwazi. Mianya yote ya kukwepa kodi kwa mgongo wa kanisa imezibwa. Hvo lazima wapige hzo kelele
  13. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Makanisani zaka zimepungua, zilikuwa zinatolewa na Mafisadi. Ahoji waraka kutotolewa Kibiti

    Kbsaa. Hayo2 makanisa yalitumika kuingiza unga nchini pia kutorosha madini yetu. Pia makanisa yalitumiwa na mafisadi kukwepa kodi ya bidhaa mbalimbali. Utekaji,kuzuiliiwa maandamano hajaanza havijaanza kipindi hiki. Why matamko haya kipindi hiki? Kuna kitu hawa Maaskofu hawajakiweka wazi...
Back
Top Bottom