Recent content by Itumbili

  1. I

    TIGO ni hatari kuwatumia kutuma pesa Mpesa- usijaribu, ni wezi

    Ni wezi Hata kwenye salio.. Ukiweka bundle, na usiitumie simu kwa mawasiliano mengine yoyote, isipokuwa internet, utakuta salio limeliwa na bundle pia.. Wizi mtupu !!!!
  2. I

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wana JF. Naomba ushauri wenu, kwa wenye kujua, sifa njema name mbaya za aina hii ya gari > Honda Cross road. Asanteni.
  3. I

    Je, ni haki kwa Traffic kujificha kwenye bajaji na kumshtukiza dereva?

    Inakera sana. Wapo ki maslahi Saudi badala ya kuelimisha. Wengine hupaki gari yao pembeni, Keisha hubakia humo huku wakitumia kipima mwendo kasi KWA gari zinazokuja mbele yao kisha hujitokeza ghafla
  4. I

    Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Hana Ubavu Huo.. Bado Hajajitambua Kuwa Anatembea Amefungwa Kamba Na Ncha Ya Kamba Hiyo Imeshikwa Na Vigogo Wa CCM, Kila Atakapotaka Kwenda Mbele Zaidi, Vigogo Walioshika Hiyo Kamba Wataivuta.. Nae Atalazimika Kurudi Nyuma..
  5. I

    Baadhi ya Maduka yamefungwa Songea Mjini

    Naam, Hayo Ndo Maneno, Wakati Wa Mabadiriko Ni Huu.. Ukawa Nafasi Zote, Diwani, Mbunge, Rais..
  6. I

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Acha Waseme Yote, Matusi, Kebehi, Dharau, Nk Sisi Tubakie Njia Kuu Ya Mabadiriko.. Tar 25th October Ukawa Ishike Dola..
  7. I

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Akili Yako Haina Akili.. Ya Mungu Mpe Mungu.. Na Ya Kaisari Mpe Kaisari..
  8. I

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mawakala Wa Huduma Ya M-pesa. Mimi Ni Mtumiaji Wa Huduma Hii Ya M-pesa Kufanya Malipo Wa Watenda Kazi Wangu Walitawanyika Maeneo Na Mikoa Tofauti.. Kero Naipata Pale Ninapohitaji Kuweka Fedha Ktk Akaunti Yangu Ili Nitume Kwingine.. Mabango Mengi Ya Wakala Wa M-pesa Yanayoonekana, Hakuna Huduma...
  9. I

    Pole MWIGULU NCHEMBA, Umechelewa sana kumfahamu LOWASSA

    Naam, Umempa Vidonge Vyake, Akimeza, Akitema, Shauri Yake.. Hatuna Haja Ya Kuumiza Kichwa Kwa Hayo Ya Mwigulu., Kwanza Ni Mchanga Kisiasa, Pili Yuko Ndani Ya CCM., Na Alichosema Ndo Lugha Ya CCM., Tusitarajie Atasema Jipya.. Aluta Continua..
  10. I

    DC wa Kinondoni(Makonda) yupo anamsimanga Lowassa

    Atavuna Anachopanda.
  11. I

    Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    How Quickly Can They Reverse The Situation., With Only A Month And Some Few Days On Hand.. It Is Just Too Late.. Change Is Now.. Next Is Now..
  12. I

    Lowassa akutana na Maalim Seif kwa faragha Dsm

    Naam., Hao Ndo Alama Ya Mabadiriko Tarajiwa.. Next Is Now.. Change Is Now..
  13. I

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Wasiotaka Mabadiriko Wajiandae Kisaikolojia Kuongozwa Na Rais Kutoka Ukawa..
  14. I

    Dr. Slaa kugombea jimbo la Segerea kupitia CHADEMA

    Ilisemwa Anapumzika, Je Kuwania Ubunge Ndo Kupumzika...? Ikiwa Ni Mchango Wake Ktk Harakati Za Kufanya Mabadiriko Ya Chama Tawala.. Well And Good.
  15. I

    Prof. Lipumba kufutwa uanachama na kufukuzwa CUF

    Hata Heshima Kajivunjia Na Kujidharirisha. Vyovyote Iwavyo Na Ktk Nafasi Yoyote, Hataongea Neno, Akaaminika.
Back
Top Bottom