Recent content by ituganhila

  1. I

    Nauza mchele

    Nakushukuru ndugu, kumbe umeelewa kuwa na uza mchele. sasa ungeuliwa hizo taarifa zingine unazoona zimepungua ili nikueleweshe. huu ni mtandao wanajamii wanaingia na kutoka si sawa na gazeti(Newspapers) ambayo yakitoka lazima yawe na habari kamili. Mapungufu unayo wewe ndugu uliza ujibiwe
  2. I

    Nauza mchele

    Aksant, mimi niko hapa DSM na mchele ukihitaji sapmle naweza kuwsiliana nawe ili uweze kuupata Nakushukuru kwa kuonesha nia
  3. I

    Nauza mchele

    Nakushukuru sana ndugu kwa kunielewa. mimi niko hapa Dar, naweza kuwasiliana nao na wakapa sapmle, Aina ya mchele ni supa saro 5 (Jamii ya supa) ni mzuri sana na una harufu nzuri utaupenda, mchele ni mwingi kiasi unachotaka ndo maana nikaelekeza kwa wenye shule au vyuo ikimaanisha kuwa mzigo ni...
  4. I

    Nauza mchele

    Nakushukuru sana ndugu kwa kumuelimisha ndugu huyo; mimi nimelima nimepata mpunga nauza. nimefanya sehemu yangu kuufahamisha umma kuwa nina mchele nauza. wengine wameeelewa, wataelewa,wengine watabeza, wengine watadharau na wengine watafuatilia hasa wenye nia ya dhati. Wengine watawaelimisha wengine
  5. I

    Nauza mchele

    Mimi niko hapa Dar na mawasiliano yanawezakufanyika nikakuletea sample 2. bei ni 1500 3. aina ni jamii ya supa hii ni supa saro 5 (4) ni kutokana na uwezo wako ningependa uanze na tani 5 na kuendelea hata tani 100 ukitaka. ninao Nakushukuru kwa kuonesha nia. ituganhila
  6. I

    Nauza mchele

    Nauza kilo moja Tshs 1500/= aina ya mchele ni supa saro 5. Mchele unapatikana kwa wingi kutokana na mavuno niliyo nayo. Nakushukuru kwa kuonesha nia ituganhila
  7. I

    Nauza mchele

    Habari wana jamii, mimi ni mkulima ninao mchele mwingi nauza; mchele huu umelimwa hapahapa Tanzania. Kutokana na wingi wa mchele nilionao, utafaa kwa watu wengi kama shule na vyuo ambako wanafunzi ni wengi zaidi. Kwa yeyote anayehitaji mchele kwa kiasi kikubwa tuwasiliane tafadhali. Aidha...
  8. I

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Wana jf habari ya hapa jamvini, sisi wana igunga tunamtaka mboje ;aje agombee hapa tutampa kura zetu, huyu ni mtoto wa hapa igunga ni msomi mzuri na anaweza akawa mwakilishi mzuri kwa jimbo la igunga. Kwa taarifa hivi sasa yuko shule marekani. Lakini atafaa sana. Anamsimamo hasa hababaishwi na...
  9. I

    January Makamba kutua Igunga Jmosi hii

    yuko mboje chadema mtafuteni huyu jamaaa ituganhila igunga
  10. I

    Samaki wenye sumu ya mionzi ya nyuklia waingia Dar

    KWAKUWA KUNATARATIBU ZA UINGIZAJI WA SAMAKI NCHINI, NASHAURI UCHUNGUZI WA KITAALAM UFANYWE NA WIZARA HUSIKA ILI KUBAINI KAMA KUNA MIONZI KABLA YA SAMAKI HAO KURUHUSIWA KWA CHAKULA. VITU VINGI SANA VINAINGIZWA NCHINI KINYEMELA AMBAVYO KWA HAKIKA HAVIFAI, NA VITU VINGI SANA VINAPELEKWA NJE KIAINA...
  11. I

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    igunga inawatu wanaofaa kutumika na sio mtu ambaye kamwe hafahamu shida za watu wa igunga. Watu hawa walikandamizwa kiasi cha kutisha sana. Wasomi wa igunga na ndio wanao faa ni akina dr. Kafumu wa itumba ni kamishna wa madini, bw. Mboje mzaliwa wa igunga ambaye ni mtumishi wizara ya mifugo...
  12. I

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    na huyu mboje nasikia ni mzaliwa igunga, ingawa ni mtumishi wa serikali lakini loote laweza kufanyika ili kumpata, nasiki anakubalika sana. Na ndiye aliyekuwa mpinzani hatari wa rostam, huyu alikuwa mwiba. Hivi sasa kwa vyanzo vya habari yuko masomoni usa. Huyu anaweza kufaa kutumika...
  13. I

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Jambo wana JF! Ubunge igunga ni moja kati ya ajenda mpya yakufanyia kazi. Igunga ina wasomi kadhaa ambao wanafaa kuwa wawakilishi wa wananchi. Wasomi hawa ni pamoja na Dr. Kafumu Kamishna wa Madini- Nishati na Madini, mtaalamu aliyebonea katika madini, tunaye pia Bw. Mboje mtaalamu wa masuala...
  14. I

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Habari za leo wana jf napenda kuongelea suala la ubunge igunga. Wilaya ya igunga imerudi nyuma kimaendeleo kielimu,kiuchumi na hata kifikira tangu alipofariki kabeho. Baada ya rostam kuachia ngazi sasa wanaigunga wanapumua vizuri. Imefika wakati sasa wa wananchi wa igunga kuchagua mtu makini...
Back
Top Bottom