Japokua jhujatoa source ya hii habari,Lakini yule mtoto yuko makini sana,tuache chuki binafsi,January Makamba is one of the coming up Generation ambayo tunaihitaji,yeye na mwenzake Nchemba,ukweli ni kwamba ingawa Rostam watu wanamlaumu,Igunga amewafanyia mambo mengi sana,kuwapa watu bima ya afya na miundombinu sio jambo dogo,CCM wana kazi kubwa kuwashawishi wale watu,tena wajitahidi sana Nape asikanyage kule,ila kwa staili ya CCM kwa sasa naona chama lazima kitakufa,wale watu walikua wanampenda sana Rostam tusidanganyane eti walinunuliwa walie,huo ni upuuzi mtupu,huyu mtu aliwasaidioa sana wana Igunga,Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Bravo January umetulia tunakukubali,litumikie taifa kwa umakini huo.