Recent content by Itoye93

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Ni zamu yangu sasa kumuunga mkono mke wangu

    Dooh! Mkuu, na Makonda naye yuko in the making. L Kuna lugha fulani zilikuwa zinatumika tukasahau kuwa maandiko yamesema maneno huumba, mfano ili tunyooke inabidi tupate rais mkali kuna wengine wakasema ili tuendelee ni mpaka damu imwagike kama Rwanda ndio tutaheshimiana. Nadhani kwa muda huu...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Ni zamu yangu sasa kumuunga mkono mke wangu

    Mkuu hizi facts zinaweza watoa machozi wengine lakini ndio ukweli na uhalisia wa mambo.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Picha: Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shari Hamad na Ujenzi wa chama Kisiwa cha Tumbatu

    Yaweza kuwa kweli lakini wana wimbo wa taifa, wana bendera na Mr. President sasa sijui hiyo buguruni au mbagala uliyorefer hapo ina hivyo vitu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Picha: Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shari Hamad na Ujenzi wa chama Kisiwa cha Tumbatu

    Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa za Tanzania, naombwa kujuzwa CUF inaweza kugawanywa na ikafanya kazi kisheria kukawa na CUF Tanganyika na CUF Zanzibar?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

    Mkumbuke na Boss Majaliwa lkn ana kamsemo kake flani hivi kuhusu watoto wa shule.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hili la wizi wa mafuta ya ATCL ni uhujumu linahitaji uchunguzi wa kina

    Mafuta ya ndege ndio mafuta ya taa mkuu, yanapoagizwa huagizwa mafuta yajulikanayo kama JET A1 ambayo ndio hayo mafuta ya ndege, yanapotaka kuuzwa kama mafuta ya taa request hupelekwa TRA kupata kibali na technical term inayotumika ni "downgrade" from JET A1 to kerosene una specify kiasi...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

    Wakuu habari. Kwanza niombe radhi kwa wote watakao jisikia vibaya kwa sababu ya picha hizi. Nimekuta hii discussion sehemu lakini hakuna mwenye uelewa mzuri juu ya hii kitu. Kwa mwenye ufahamu je huu ni ugonjwa gani? Unaambukizwaje? Na tiba yake ni ipi?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

    Mkuu, maisha ni yale yale tu. we breath the same air, share the same sun and moon hata kifo ni kile kile tu, ila sasa utofauti uko kwenye mzigo ulioko kwenye bank account.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Hivi haya yote yanajitokeza baada tu ya Makonda kuanza kufuatilia madawa ya kulevya. Kama asingefuatilia madawa haya tungeyafahamu kweli?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Mkuu, sidhani kama Mh. Makonda yuko peke yake, analifanya hili kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa so its obvious yuko hand in hand na kamati yake na yeye kama mwenyekiti ndio msemaji wa kamati so it is his place to say what's happening na sidhani kama ni issue ya publicity...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Je! Hili analolifanya mkuu wa mkoa ni jambo jema au baya? Na Tundu Lissu kama mtanzania mwenye mapenzi mema na taifa letu anafanya nini kumsaidia Mkuu wa mkoa ili kama ni baya basi amrekebishe au kama ni zuri basi lifanyike kwa mafanikio zaidi.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumsaidia mume wangu kuongeza kipato chake?

    Mungu akubariki sana dada kwa moyo ulionao..maana mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake kwa mikono kama ilivyo kwa mpumbavu ambaye huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Kuna biashara ambazo anaweza kufanya bila kuacha kazi yake ya msingi ambayo naamini ndio passion yake mfano biashara ya...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Maamuzi na Matokeo yake

    Habari wana-JF, I want you to share your expirience and your wisdom on this. Nilikuwa na kazi nzuri tu, lakini boss(foreigner) alikuwa anazingua sana, so one day I decided to resign after frustration ambazo zilikuwa haziishi day in day out. Now months have gone by, bado sijapata ajira rasmi...
Back
Top Bottom