Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Itoye93

Member
Dec 19, 2016
14
20
Wakuu habari.

Kwanza niombe radhi kwa wote watakao jisikia vibaya kwa sababu ya picha hizi.

Nimekuta hii discussion sehemu lakini hakuna mwenye uelewa mzuri juu ya hii kitu.

Kwa mwenye ufahamu je huu ni ugonjwa gani? Unaambukizwaje? Na tiba yake ni ipi?

IMG-20170220-WA0069.jpg


IMG-20170220-WA0070.jpg
 
Huo ni ugonjwa wa zinaa either ni condyloma accuminata(caused by HPV virus) or condyloma lata as manifestation of syphilis. So ukifanya examination utaweza kutofautisha or ukofanya RPR for syphilis.. Zote aina mbili zinaambukizwa through sexual intercourse. Na tiba mostly wanafanya cryotherapy
 
Back
Top Bottom