Recent content by Itoye

  1. Itoye

    Mwanza Shopping Mall ni White Elephant Project!l

    Daraja la Kigamboni ni white elephant? Mleta uzi hauko serious.
  2. Itoye

    Askofu Bagonza: Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge

    Nafasi ya Spika na naibu wake iwe ya kuajiriwa, vigezo viwekwe watu watume CV interview ya wazi tena mubashara kwenye tv (wakenya wanafanya hili wanapomtafuta jaji mkuu na msaidizi wake). Kwa utaratibu huu hata chama tawala kikiwa Ada Tadea, yaliyotokea yatatokea tu. Kuna watu sehemu walikua...
  3. Itoye

    Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    Hivi huu mstari unapatikana kitabu gani ktk biblia?
  4. Itoye

    AIBU: Wachungaji KKKT wampinga Dk Shoo

    Hawa Maaskofu kipindi wakiwa ktk daraja la Uchungaji wanakuwa watumishi na viongozi wa kiroho kwa baadhi balaa huanza baada ya kupanda na kupata daraja la Uaskofu, hugeuka na kuwa watawala na si watumishi tena na maamuzi na mipango yao hujaa siasa siasa. Sasa kama huyu Askofu sijasikia kama...
  5. Itoye

    TANESCO Director General explains frequent power cuts

    Hivi for five years kama Scheduled Maintenance zingekua hazifanyiki na system ya Distribution ya Tanesco ilivyo ingekua imeshacollapse muda mrefu sana. Ktk kipindi hicho anachosema Service hazikuwepo binafsi kwa mara ya kwanza nilisikia Tanesco wanapita na gari la matangazo wanatangaza kuwa...
  6. Itoye

    Azam tv msirushe tamthilia yenye jina hili, mtakosea

    Hebu fafanua zaidi kwa uelewa wako hilo jina beki 3 limetoka wapi na kwa nini likahusianishwa na wafanyakazi wa ndani na kisha fafanua sasa madhara yake ni yapi yaani sifa zinazobebwa na hilo jina beki 3 linamuathiri vipi huyo mfanyakazi wa ndani. Je! Azam wametamka kuwa mfanyakazi wa ndani...
  7. Itoye

    Benki Kuu yatoa onyo kwa wanaotupa hela na kuzikunja kama mapambo kwenye sherehe

    Kwenye barua kuna sehemu imeandikwa "matendo hayo yanatweza fedha ya Tanzania..." jamani, jamani, jamani hivi ukweli wa hilo uko wapi, nimejikuta nacheka tu. viongozi pambaneni na serious issues ktk hili taifa, fedha ya nchi haidharauliki kwa sababu ya kutunzana
  8. Itoye

    Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

    Binafsi hua naamini tatizo lilianza kwenye hii hesabu "1+1=haraka haraka wakajibu 2" Kama wangefikiri nje ya box na "1+1= ikawa 1 au ikawa 3" leo tungekua hatupotezi muda kujadili issue kama hizi.
  9. Itoye

    TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

    Kifo siku hizi kinatoa taarifa? au kina sehemu maalum za kumkuta mtu na miongoni mwa sehemu hizo nyumbani imeondolewa kwenye list?
  10. Itoye

    Msaada: Mnafanyaje mambo yenu yaende poa?

    Okay...binafsi naamini majibu unayoyatafuta yako ktk hayo hayo unayoyafanya. Kwa mfano, to be specific; sasa hivi ni kazi/shughuli gani unayoifanya au uliyonayo ambayo inaenda vibaya au badala ya kuleta faida inaleta hasara.
  11. Itoye

    Msaada: Mnafanyaje mambo yenu yaende poa?

    Pole sana, hii story yako fahamu tu inaakisi maisha ya watu wengi sana mtaani na hata hapa JF. What exactly do you want in this life?
  12. Itoye

    Picha kutoka kwa Masoud Kipanya

    Hizo rangi za nguo alizovaa jamaa zina mwelekeo wa chama chochote au ni coicidence tu?
  13. Itoye

    Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Uko sahihi Mkuu, maoni yake yachukuliwe kama maoni ya mtu mwingine yeyote tu maana hakuna ajuaye kitu gani kinachomsukuma kusema hayo aliyoyasema. Pia ni vema tukakumbuka hata Mapepo kwa hila/unafiki husifia kazi ya Mungu; Matendo 16:16-19 " Siku moja, tulipokuwa tunakwenda mahali pa kusali...
Back
Top Bottom