Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kama lilivyo daraja la Kigamboni, au lingine pia lililo kwenye pipeline la kuunganisha Coco beach na Daraja la Salenda, Mji wa Mwanza hivi karibuni umefungua Shopping Mall, jengo ambalo limejengwa kwa fedha nyingi sana na ni jengo zuri lkn halina maana yoyote kwa Mji Mwanza kwa maana Mji wa Mwanza hauna uchumi wa kutosha kuweza kulifanya hilo jengo lijiendesha, yaani middle class ya Mwanza ni ndogo sana!
Sasa ukweli umeanza kujitokeza wenye jengo wamekosa wapangaji kwa maana kwa mpangishwaji anashindwa kulipia kodi ya jengo na pia kupata faida kwa maana wateja wa kuweza kufanya shopping Mwanza ni kiduchu sana sasa mtokeo yake hili jengo kuku wataanza kuingia humo na kutaga!
Ni kwa nini hizi fedha badala ya kujenga Malls labda tusiwekeze kwenye Elimu? Au maeneo mengine yoyote yenye uhitaji kwanza kama afya, Miundombinu n.k?
Nina uhakika fedha iliyojenga hapo ingeweza kujenga VETA ikakamilika na kufundisha vijana kuzalisha ajira na baadaye kukuza middle class halafu baadaye ndiyo Shopping Mall sasa ije!
Lakini sisi tunafanya kinyume chake shopping Mall kabla ya kutengeneza Utajiri, inapaswa kwanza unatenengeza kipato yaani kuwa watu wenye kipato kizuri halafu ndiyo sasa unakuja kwenye mambo ya shopping Mall kwa maana watu watakuwa na fedha ambazo watapenda kuzitumia kwa mambo mbali mbali kama sinema, nguo n.k